Unajua Katika Watu wasiojiamini Huyu Tundu Lissu ni Wa Kwanzaa Na MTU asie na uhakika Wa kitu daima mbinu yake huwa ni kujihami Inakuwa kama mchezo Wa Ndondi kama huna mbinu daima kunambinu moja tu Ni kujihami hii ndio anatumia Kibaraka Anajua kabisa Kwamba hawezi Kushida basi anawandaa Kisaikolojia watu wake kuwa hata wakishindwa yeye akasema wameshinda waingie Barabarani.
Lakini Anaposema Magufuri Hana jeshi Kwanza Ni kweli Magufuli Hana Jeshi Pili Anadharau Jeshi LA wanainch kwamba Hata kama atafanya fujo halina uwezo Wa kumzuia, Hili Jeshi sio LA Magufuli ni la wananchi wote pia halihusiki kabisa Na uchaguzi.Chombo kinachohusika Na uchaguzi wakati huu ni NEC, Hawa ndio watakaotangaza Mshindi. Sasa Kama lissu atashinda asiwe Na wasiwasi atatangazwa Na Akishinda Magufuli lazima Tundu lissu aheshimu, Asipoheshimu Hapo ndio Atajua Ile Theme YA WENGI WAPE Na Jeshi likihitajika Wakati huu Boss Wake atakuwa TUME YA UCHAGUZI.
So Huyu Mbeligiji Asitutishe Na Namwakikishia Hakuna Nyumbu ataingia Barabarani Zaidi ya wezi, wavuta bangi, Na wapiga Deal. Sasa Hawa Ni Rahisi sana kudeal nao maana Watapigwa bila huruma Hizo mahakama za kimataifa Sio Pumbavuu kama Wanavyofikiri kina Lissu Na Bavicha Lissu anajitengeneze Ugumu Wa kutetea hoja hata kama atakwenda hizi mahakama za kimataifa Haziendeshwi Kama wanavyohisii Kama matamshi yakoo ya Sasa yanapingana Na Sheria na utaratibu Wa uchaguzi unategemea ushindi UPI.
Mwisho itoshe Kusema KAMA UNAAKILI TIMAMU USHAJUA MSHINDI NI NANI... Mpaka Sasa Idadi ya wale wajumbe waCCM walijizolea umaarufu hawapungui 5m nchinzima Hawa wako haiii pia ukijumlisha Na wanachama hai Wa CCM over 20m members utajua kabisa kwamba Huu uchaguzi ulishaaisha kabla haujaanzaaa
#NAISHUKURU SERIKALI YA WAMU YA TANO