Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Tukishinda na tusitangazwe tutamfikisha Rais Magufuli Mahakama ya Kimataifa “The Hague”

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Tukishinda na tusitangazwe tutamfikisha Rais Magufuli Mahakama ya Kimataifa “The Hague”

Na aseme kabisa kabisa pia asiposhinda atafanya nini, halafu swala la kushindwa yeye ndilo kubwa kuliko hata umri wake na matusi ya watetezi wake pamoja na hiyo Nguvu iliyojificha nyuma yake
Labda atashinda mbio za magari lakini kinyanganyieo Cha uraisi amechemka
 
Unajua Katika Watu wasiojiamini Huyu Tundu Lissu ni Wa Kwanzaa Na MTU asie na uhakika Wa kitu daima mbinu yake huwa ni kujihami Inakuwa kama mchezo Wa Ndondi kama huna mbinu daima kunambinu moja tu Ni kujihami hii ndio anatumia Kibaraka Anajua kabisa
Kwamba hawezi Kushida basi anawandaa Kisaikolojia watu wake kuwa hata wakishindwa yeye akasema wameshinda waingie Barabarani.

Lakini Anaposema Magufuri Hana jeshi Kwanza Ni kweli Magufuli Hana Jeshi Pili Anadharau Jeshi LA wanainch kwamba Hata kama atafanya fujo halina uwezo Wa kumzuia, Hili Jeshi sio LA Magufuli ni la wananchi wote pia halihusiki kabisa Na uchaguzi.

Chombo kinachohusika Na uchaguzi wakati huu ni NEC, Hawa ndio watakaotangaza Mshindi. Sasa Kama lissu atashinda asiwe Na wasiwasi atatangazwa Na Akishinda Magufuli lazima Tundu lissu aheshimu, Asipoheshimu Hapo ndio Atajua Ile Theme YA WENGI WAPE Na Jeshi likihitajika Wakati huu Boss Wake atakuwa TUME YA UCHAGUZI.

So Huyu Mbeligiji Asitutishe Na Namwakikishia Hakuna Nyumbu ataingia Barabarani Zaidi ya wezi, wavuta bangi, Na wapiga Deal. Sasa Hawa Ni Rahisi sana kudeal nao maana Watapigwa bila huruma Hizo mahakama za kimataifa Sio Pumbavuu kama Wanavyofikiri kina Lissu Na Bavicha Lissu anajitengeneze Ugumu Wa kutetea hoja hata kama atakwenda hizi mahakama za kimataifa Haziendeshwi Kama wanavyohisii Kama matamshi yakoo ya Sasa yanapingana Na Sheria na utaratibu Wa uchaguzi unategemea ushindi UPI.

Mwisho itoshe Kusema KAMA UNAAKILI TIMAMU USHAJUA MSHINDI NI NANI... Mpaka Sasa Idadi ya wale wajumbe waCCM walijizolea umaarufu hawapungui 5m nchinzima Hawa wako haiii pia ukijumlisha Na wanachama hai Wa CCM over 20m members utajua kabisa kwamba Huu uchaguzi ulishaaisha kabla haujaanzaaa

#NAISHUKURU SERIKALI YA WAMU YA TANO

Unachosha vidole boya
 
Unajua waliomchanganya jiwe ni akina Polepole na bashiru waliomuaminisha kuwa upinzani umekufa kabisa baada ya akina Mollel na madiwani karibu wote wa Arusha kununuliwa. Matokeo yake sasa hivi kila kukicha afadhali ya jana kwasababu ya presha ya Lissu. Ngoja uchaguzi upite uone kitakachowatokea akina chakubanga.
Sasa weee unaona upinzani upo
 
Yule jamaa wahuni wa mjin wamempiga hela wakamwambia jamaa kwisha kabisa 2020 utapita bila kupingwa utaona mwenyewe we lete mzigo tu [emoji23]
Sasa jamaa juzi kati kashtuka akauliza mbona hivi sielewi wahuni wakamwambia hizo za zazamani we relax.
Tar 28 jamaa watakuwa hawapo washasepa atajua mwenyewe[emoji1787]
Yaani wwe unahadithia Kama vile wwe ni mgeni, Watanzania huwajui vizuri! Muulize Mrema au Eddo watakwambia Watanzania walivyo wajumbe wazuri! Lissu asije akanywa sumu baada ya kusikia Matokeo, maana ana Deni kubwa kutoka kwa Wafadhili wake huko Ubelgiji!!
 
Lissu asitegemee watu wataingia barabarani wakati yeye anakula kuku ulaya hakuna mtu atakayekubali kuumia kwa ajili ya wanasiasa
 
Vibaraka mpo? Mnasalimiwa na Mike Pompeo
#Repost @millardayo @download.ins
---
Rais Donald Trump wa Marekani ameonekana kujiepusha kukubali kukabidhi madaraka kwa amani endapo atashindwa katika uchaguzi wa Rais November mwaka huu, amesikika akisema wataangalia kitakachojitokeza akijibu swali la kama atakabidhi madaraka kwa amani.

Alisema mara kadhaa amekua akilalamikia mchakato wa upigaji kura na sasa ni kama mwezi amekua kwenye kampeni dhidi ya upigaji kura kwa njia ya barua ambapo Majimbo mengi yamependelea kura zipigwe kwa njia ya barua ili kuepusha wapiga kura na maambukizi ya corona. (via @dw_kiswahili )
 
Back
Top Bottom