Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Tukishinda na tusitangazwe tutamfikisha Rais Magufuli Mahakama ya Kimataifa “The Hague”

Tanzania ni nchi huru; apelekee watoto wenzake huko hizo porojo.
Huyu mtembezi anadhani kuwa The Hague ni kama kuelezea matatizo ya kifamilia? Endelea kupiga yowe nyikani, ila mwisho unauelewa kuwa tangazo la mshindi anafahamika.

Hata uwaziri wa kuangalia hewa hatuwezi kukupatia baada ya kushindwa. Utaishia kula makopo.

Rais wa Tanzania ni Mhe. Dr. Magufuli; na dunia nzima inalifahamu hili.
 
Na aseme kabisa kabisa pia asiposhinda atafanya nini, halafu swala la kushindwa yeye ndilo kubwa kuliko hata umri wake na matusi ya watetezi wake pamoja na hiyo Nguvu iliyojificha nyuma yake

Amesema mara nyingi kuwa akishindwa kihalali atakubali ila ambacho hatakubali bao la mkono kama kwa Lowasa yeye hawezi kumuachia Mungu
 
Wafuasi wa Lissu wengi Ni mburulazz, ashindwe na alegee!

Asituvurugie taifa letu, jeshi lipo kwa ajili ya waTanzania asilihusishe na siasa!
 

Hajiamini umeona anaengua wagombea na kupitisha wabunge wanaowakilisha tume, kama hajiamini si angekuwa mikutano yake inatamgazwa na TBC kama inabofanya kwa Magufuli. Wizi wa kura ni mazoea ya mbogamboga miaka yote ndiyo maana makada wamejazwa kwenye tume sasa kama hajiamini si angesuasia. Lakini anajiamini ndiyo maana anashiriki. Asiyejiamini huyo anayesema vitambulisho vya machinga ni hiyari wakati imetungiwa sheria tangu lini utekelezaji wa sheria ikawa hiyari. Na leo amesema atapandisha mishahara wasiwasi umemjaa anaona dalili siyo nzuri mara aagize kujenga barabara kuhangaika wakati boat inazamishwa.
 
Ahahahahahah! Ashaanza kulialia na The Hague. Ameishasahau MIGA! Ahahahahahahahah!
 
Tatizo la Huyu Kijana, ni mwoga sana, yeye anatishia kuvuruga Amani na kuhamasisha vurugu Kwa kisingizio cha matokeo. Kwanza yeye ana uhalali gani wa kushinda uchaguzi ambao wengine hawana? Amesikika Kigoma akisema kwamba Mkosamali awamuru wananchi waingie barabarani kudai ushindi. Kwa hiyo ata wakishindwa wadai ushindi usio kuwa wao?
Kwa maana hiyo walio mtuma wamemuakikishia hata akimwaga damu za watu watamlinda?
Mwambieni aache kupotosha na kutoa ndoto hewa.
 
Kutakuwa na mabadiliko ya sheria yanayoruhusu kesi za Uchaguzi kupelekwa the Hague,

Mwanasheria nguli Lisu anafahamu.
 
23 September 2020
Katoro, Geita na Biharamulo, Kagera
Tanzania

MAFURIKO YA TUNDU LISSU LEO KATORO GEITA NA BIHARAMULO, ANENA MAZITO KUISAMBARATISHA SERIKALI YA CCM

Tundu Lissu alivyopokewa na kisha kutoa hotuba yake kampeni 2020

 
Daaaah!! Ni vigumu Sana kumutofautisha Tundu lissu na Hawa Mbwa Koko wanaojishtukia na kufyata mkia hata kama hawajapigwa..

Siyo kosa lake lakini.
 
Kama kawaida anabwabwaja!
 
23 September 2020
Geita, Tanzania

Tundu Lissu mwaka huu 2020 ni kura ya kimbunga, hakuna kura kuibwa mwaka huu 2020


The Hague ICC Mahakama ya Kimataifa ya Kushughulikia Uhalifu itawahusu wote iwe wana majeshi, mahakama au madaraka tumeona wahalifu waliofikishwa The Hague walikuwa na vyombo vyote hivyo vya dola lakini siku ya mwisho waliishia kuhukumiwa na Mahakama hiyo ya Kimataifa .
 

Ebu pitia hiyo link uone kidogo
 
Kwamba hana jeshi, wanajeshi hawalipwi mishahara miaka mitano😳?
Mwambieni Lissu, wafanyakazi wengine wa umma watakosa mishahara Ila sio jeshi, achilia mbali swala la kutopewa mishahara, hata kucheleweshewa tu haijawahi kutokea. Katika utawala ambao wanajeshi wamewekwa karibu na mtawala ni huu Sasa, uliza pesa walizopiga maofisa wa JKT kwenye UJENZI wa ukuta Mererani, Dodoma na miradi mingine mingi iliyofanyika chini ya utawala huu😂😂.

Kuna wakati fulani kauli humponza huyu jamaa, unaposema Rais hana hilo jeshi, ni kumhamasisha akuaminishe kuwa jeshi analo. Yeye Ni binadamu pia.
 
Huyo nae anawewesuka
Ashinde Nini Sasa?
Mbio za magari?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…