Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Tukishinda na tusitangazwe tutamfikisha Rais Magufuli Mahakama ya Kimataifa “The Hague”

Na aseme kabisa kabisa pia asiposhinda atafanya nini, halafu swala la kushindwa yeye ndilo kubwa kuliko hata umri wake na matusi ya watetezi wake pamoja na hiyo Nguvu iliyojificha nyuma yake
Labda atashinda mbio za magari lakini kinyanganyieo Cha uraisi amechemka
 

Unachosha vidole boya
 
Sasa weee unaona upinzani upo
 
Yaani wwe unahadithia Kama vile wwe ni mgeni, Watanzania huwajui vizuri! Muulize Mrema au Eddo watakwambia Watanzania walivyo wajumbe wazuri! Lissu asije akanywa sumu baada ya kusikia Matokeo, maana ana Deni kubwa kutoka kwa Wafadhili wake huko Ubelgiji!!
 
Lissu asitegemee watu wataingia barabarani wakati yeye anakula kuku ulaya hakuna mtu atakayekubali kuumia kwa ajili ya wanasiasa
 
Vibaraka mpo? Mnasalimiwa na Mike Pompeo
#Repost @millardayo @download.ins
---
Rais Donald Trump wa Marekani ameonekana kujiepusha kukubali kukabidhi madaraka kwa amani endapo atashindwa katika uchaguzi wa Rais November mwaka huu, amesikika akisema wataangalia kitakachojitokeza akijibu swali la kama atakabidhi madaraka kwa amani.

Alisema mara kadhaa amekua akilalamikia mchakato wa upigaji kura na sasa ni kama mwezi amekua kwenye kampeni dhidi ya upigaji kura kwa njia ya barua ambapo Majimbo mengi yamependelea kura zipigwe kwa njia ya barua ili kuepusha wapiga kura na maambukizi ya corona. (via @dw_kiswahili )
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…