Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Akizungumza katika Mkutano wake wa kwanza wa Hadhara, Tangu arejee kutoka nje ya nchi alikokimbilia kunusuru Uhai wake, Lissu amedai kwamba Nchi ya Tanzania inaongozwa na Marais wezi.
Akikazia madai yake, amesema kwamba, kama kuna mtu anadhani anasema vibaya aende akasome Kitabu cha Rais Mstaafu Benjamin Mkapa kinachoitwa "MAISHA YANGU" Ambapo ndani ya kitabu hicho ambacho Mwandishi ni Mkapa Mwenyewe anakiri kwamba WALIIBA DOLA mil 100 mwaka 2005 ili wapate pesa za kampeni za CCM.
Toa Maoni yako.