Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 11,936
- 15,196
Hana akili huyukwani Lisu ni mwanasheria mkuu wa serikali?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hana akili huyukwani Lisu ni mwanasheria mkuu wa serikali?
Serikali ilipe madeniWatanzania hawana haja ya kuteseka kuhusiana na kukamatwa kwa ndege ya Air Tanzania ambayo imefikisha miezi 6 sasa bila kuachiwa kwani walitumia kodi zao kusomesha wasomi wazuri wa sheria wenye uwezo wa kutetea hadi makampuni ya nje kama Acacia akina Tundu Lisu na wenzake.
Kwenye awamu ya tano kila ndege inapokamatwa Rais Magufuli alikuwa anamtuma Prof Kabudi na ndege zilikuwa zinaachiwa kwa kasi ya ajabu ndani ya mwezi mmoja kwa kutumia ujuzi wake wa sheria aliosomea kwa kodi za watanzania, leo kwenye awamu ya sita Prof. Kabudi ametumbuliwa hayupo.
Kwa kuwa Chadema wameamua kulamba asali na kuungana na awamu ya 6 basi tunamuomba Rais Samia amtume Tundu Lisu aende akaikomboe hiyo ndege kwani uzalendo wa Lisu utapimwa kwa kuwatetea watanzania na siyo kutetea kampuni la Acacia.
Tundu Lisu hana ujuzi wa kisheria kutuzuia tusilipe?Sio kweli, mlikubali kulipa ndio maana.
Kwani Lisu alikuwa mwanasheria mkuu wa Acacia?kwani Lisu ni mwanasheria mkuu wa serikali?
Atusaidie na sasa ndege yetu iachiwe1. Sheria yake aliiitumia sana kupinga utapeli wa mabeberu kwenye madini hasa maeneo ya huko Tulawaka mpaka kule Nyamongo.
2. Aliwahi kusaidia directly kuwatoa gerezani zaidi ya watu 400 waliokua na kesi mbali mbali na kutupwa ndani kisa migogoro na migodi.
3. Sio hapo tu alikua LEAT ambapo walikua wanasheria wanapigania masuala ya mazingira hasa kupinga maviwanda yanayotiririsha Maji ya sumu kwenye vyanzo vya makazi ya watu.
Yeye amechochea vipi hizo ndege kukamatwa? Ninachoju TL alikuwa anayaleta yale ambayo serikali haitaki wananchi wayajue..Huyo ndio anachongea ndege zikamatwe au tushitakiwe, Sasa atatutetea vipi tena?
Kula ugali pumzika
Wee mpumbavu pesa mpige ninyi utetezi afanye Tundu Lissu!Watanzania hawana haja ya kuteseka kuhusiana na kukamatwa kwa ndege ya Air Tanzania ambayo imefikisha miezi 6 sasa bila kuachiwa kwani walitumia kodi zao kusomesha wasomi wazuri wa sheria wenye uwezo wa kutetea hadi makampuni ya nje kama Acacia akina Tundu Lisu na wenzake.
Kwenye awamu ya tano kila ndege inapokamatwa Rais Magufuli alikuwa anamtuma Prof Kabudi na ndege zilikuwa zinaachiwa kwa kasi ya ajabu ndani ya mwezi mmoja kwa kutumia ujuzi wake wa sheria aliosomea kwa kodi za watanzania, leo kwenye awamu ya sita Prof. Kabudi ametumbuliwa hayupo.
Kwa kuwa Chadema wameamua kulamba asali na kuungana na awamu ya 6 basi tunamuomba Rais Samia amtume Tundu Lisu aende akaikomboe hiyo ndege kwani uzalendo wa Lisu utapimwa kwa kuwatetea watanzania na siyo kutetea kampuni la Acacia.
Hawezi kusaidia lolote anyway.Yeye amechochea vipi hizo ndege kukamatwa? Ninachoju TL alikuwa anayaleta yale ambayo serikali haitaki wananchi wayajue..
Hamkusema hivyo wakati Acacia inadaiwa na TanzaniaDawa ya deni ni kulipwa tu.
Umenena vyemaHawezi kusaidia lolote anyway.
Yeye ni mtu anatumikia tumbo lake na hapendi lolote jema la hii nchi.
Kuna wanasheria wa serikali wazuri hawaongei sana watamaliza hilo wakipewa kazi.
labda kwenye akili yako unadhani hivyoKwani Lisu alikuwa mwanasheria mkuu wa Acacia?
Sukuma Gang nendeni mkairudishe kwani marehemu wenu ndiye aliyeiponza kwa upumbavu wake wa kihutu.
Hayo madeni marehemu wala hayamuhusu. Ingekuwa Sukuma gang wapo madarakani usingesikia huo ujinga. Mbona walijaribu wakashindwa.
Unawezqje kujiita Mtanzania kwa maneno kama hayo juu?Wee mpumbavu pesa mpige ninyi utetezi afanye Tundu Lissu!
Shithole!
Nenda chato utapata majibu ya yote hayo. Alibana mwisho akaachia.Hamkusema hivyo wakati Acacia inadaiwa na Tanzania
Sukuma Gang ipo na ni wafuasi wa dikteta uchwara wala haihusiani na Kabila letu pendwa la Wasukuma. Tena ukome kulihusisha Kabila letu na hilo genge la wahamiaji haramu.Unawezqje kujiita Mtanzania kwa maneno kama hayo juu?
Ni nini haswa kilichokuingia na kukupeleka kutumia akili yako na kuanza kuwa mtenganishi wa makabila?Yaani Jamhuri ya Muungano Wao? Unawezaje mtu unaejiita una akili kawa unatukana Jamii/kabila nzima ya Wasukuma eti kwa sababu una kisasi binafsi na Hayati Rais?
....Hakuna genge, wala gang lelote Tanzania linaloitwa "Sukuma gang"
Mkome na mlegee kutumia kugha za utenganishi Nchini. Mkome. Jirekebisheni
Kama alivyoachia bibi yakoNenda chato utapata majibu ya yote hayo. Alibana mwisho akaachia.