Tundu Lissu tumia ujuzi wako wa sheria ndege iliyokamatwa iachiwe

Sukuma Gang ipo na ni wafuasi wa dikteta uchwara wala haihusiani na Kabila letu pendwa la Wasukuma. Tena ukome kulihusisha Kabila letu na hilo genge la wahamiaji haramu.
Usijikombe kwa kujifanya unajua maana halisi ya nini hao walioandika "Sukuma gang" wana maanisha nini au wewe unayetaka kutuaminisha na kutupotosha Watanzania uwepo wa kundi kama hilo. 'Hakuna.' Kuna Kabila linaloitwa Sukumu na sio Sukuma gang. mtalegea tu.

....Kutaka kuwabatiza Watanzania wote waliomchagua Hayati Raisi au Watanzania wote wanaojua mazuri aliyofanya na kuwaita "Wafuasi" ni dhihaka....wewe ni mfuasi wa nani? Wacha hizo lugha za utenganishi na dhihaka dhidi ya Mtanzania.
Narudi tena, Huwezi ukawa unajidai wewe ni Mtanzania huku ukiwa unajitukana halafu unapokurupushwa ukajikomba na kujidai wewe ndio Kabila lako na hivyo una haki ya kuwadhihaki....hicho kitu hakimo katika tafsiri yeyote ile ya Uzalendo, hata uwe Uzalendo wa kutunga hayo ni matusi na ni matusi ya Ukimbari.

Wacheni ugaidi wa mtandaoni. Stop it.
 
Sukuma Gang nyie wengi wenu ni wahamiaji haramu toka Burundi kama aliyokuwa dhalim baba yenu.
 
Watanzania hawana haja ya kuteseka kuhusiana na kukamatwa kwa ndege ya Air Tanzania ambayo imefikisha miezi 6 sasa bila kuachiwa kwani walitumia kodi zao kusomesha wasomi wazuri wa sheria wenye uwezo wa kutetea hadi makampuni ya nje kama Acacia akina Tundu Lisu na wenzake.

Kwenye awamu ya tano kila ndege inapokamatwa Rais Magufuli alikuwa anamtuma Prof Kabudi na ndege zilikuwa zinaachiwa kwa kasi ya ajabu ndani ya mwezi mmoja kwa kutumia ujuzi wake wa sheria aliosomea kwa kodi za watanzania, leo kwenye awamu ya sita Prof. Kabudi ametumbuliwa hayupo.

Kwa kuwa Chadema wameamua kulamba asali na kuungana na awamu ya 6 basi tunamuomba Rais Samia amtume Tundu Lisu aende akaikomboe hiyo ndege kwani uzalendo wa Lisu utapimwa kwa kuwatetea watanzania na siyo kutetea kampuni la Acacia.
Madhara aliyoacha Magufuli yatachukua miaka mingi sana kuisha.
 
Sukuma Gang nyie wengi wenu ni wahamiaji haramu toka Burundi kama aliyokuwa dhalim baba yenu.
Tafadhali sana Bwana Sagai. Usinizoee na hayo matusi. Koma.
Kama una hoja jibu hoja, Tafadhali taafadhali usiendelee na hizo lugha zako.

Nyie wengi wahamiaji wa burundi tena?maaana yake ni nini kama sio kuleta utenganishi, nyie wengi...? Unajaribu kupachika hilo genge lenu la kutunga....sasa ni la wahamiaji haramu?

Narudia tena, na ninasisitiza, na kile juu. Kwanza ukome na kunizoea hivyo. Pili, Mimi ni Mtanzania. Period.

Ulegee kila ulitajalo Sukuma.
 
Watanzania hawana haja ya kuteseka kuhusiana na kukamatwa kwa ndege ya Air Tanzania ambayo imefikisha miezi 6 sasa bila kuachiwa kwani walitumia kodi zao kusomesha wasomi wazuri wa sheria wenye uwezo wa kutetea hadi makampuni ya nje kama Acacia akina Tundu Lisu na wenzake.

Kwenye awamu ya tano kila ndege inapokamatwa Rais Magufuli alikuwa anamtuma Prof Kabudi na ndege zilikuwa zinaachiwa kwa kasi ya ajabu ndani ya mwezi mmoja kwa kutumia ujuzi wake wa sheria aliosomea kwa kodi za watanzania, leo kwenye awamu ya sita Prof. Kabudi ametumbuliwa hayupo.

Kwa kuwa Chadema wameamua kulamba asali na kuungana na awamu ya 6 basi tunamuomba Rais Samia amtume Tundu Lisu aende akaikomboe hiyo ndege kwani uzalendo wa Lisu utapimwa kwa kuwatetea watanzania na siyo kutetea kampuni la Acacia.
We ni lofa kweli , kabudi katumbuliwa? Mbona juzi hapo walikuwa na mama wanatia sahini ya kukabidhi mgodi, lisu na maccm wapi na wapi , halafu aliekudanganya kabudi alikuwa anashinda kesi ni nani,? SI wamtume Sasa kwa ufupi walikuwa wanalipa , lipeni madeni ya watu acheni uhuni na kuifisadi nchi , matrilion ya pesa mnaiba mnashindwa kulipa madeni kazi kuitia nchi hasara TU, mmelaaniwa.
 
Tafadhali sana Bwana Sagai. Usinizoee na hayo matusi. Koma.
Kama una hoja jibu hoja, Tafadhali taafadhali usiendelee na hizo lugha zako.

Nyie wengi wahamiaji wa burundi tena?maaana yake ni nini kama sio kuleta utenganishi, nyie wengi...? Unajaribu kupachika hilo genge lenu la kutunga....sasa ni la wahamiaji haramu?

Narudia tena, na ninasisitiza, na kile juu. Kwanza ukome na kunizoea hivyo. Pili, Mimi ni Mtanzania. Period.

Ulegee kila ulitajalo Sukuma.
Sukuma Gang ni wahamiaji haramu toka Burundi walijivika Usukuma ili kupata uungwaji mkono kwa vile Wasukuma ni Kabila lenye idadi kubwa ya watu kuliko makabila mengine hapa Tanzania. Ndiyo maana mnashabikia uhasama na hamtaki watu wapatane kwani nyie chuki na visasi ni jadi yenu. Tumeshajifunza tutahakikisha hampati tena nafasi ya uongozi wa juu.
 
Watanzania hawana haja ya kuteseka kuhusiana na kukamatwa kwa ndege ya Air Tanzania ambayo imefikisha miezi 6 sasa bila kuachiwa kwani walitumia kodi zao kusomesha wasomi wazuri wa sheria wenye uwezo wa kutetea hadi makampuni ya nje kama Acacia akina Tundu Lisu na wenzake.

Kwenye awamu ya tano kila ndege inapokamatwa Rais Magufuli alikuwa anamtuma Prof Kabudi na ndege zilikuwa zinaachiwa kwa kasi ya ajabu ndani ya mwezi mmoja kwa kutumia ujuzi wake wa sheria aliosomea kwa kodi za watanzania, leo kwenye awamu ya sita Prof. Kabudi ametumbuliwa hayupo.

Kwa kuwa Chadema wameamua kulamba asali na kuungana na awamu ya 6 basi tunamuomba Rais Samia amtume Tundu Lisu aende akaikomboe hiyo ndege kwani uzalendo wa Lisu utapimwa kwa kuwatetea watanzania na siyo kutetea kampuni la Acacia.
Maji ya shingo sasa mnamtaka mliyemchapa risasi aje awaokoe..!!! WE KUWEZA..!?
 
wewe huwezi?
 
Lisu hana uwezo kisheria kupambana na hayo madhara?
Hana muda mchafu huo,dawa ya deni ni kulipa tu,kesi ilishakwisha kilichobakia ni utekelezwaji wa hukumu na kinachoendelea ni kukazia hukumu hiyo ndiyo maana ndege imekamatwa, period.
 
Ila Lisu ana muda msafi wa kutetea Acacia?
 
Back
Top Bottom