Tundu Lissu tumia ujuzi wako wa sheria ndege iliyokamatwa iachiwe

Serikali ilipe madeni
 
Atusaidie na sasa ndege yetu iachiwe
 
Wee mpumbavu pesa mpige ninyi utetezi afanye Tundu Lissu!

Shithole!
 
Yeye amechochea vipi hizo ndege kukamatwa? Ninachoju TL alikuwa anayaleta yale ambayo serikali haitaki wananchi wayajue..
Hawezi kusaidia lolote anyway.
Yeye ni mtu anatumikia tumbo lake na hapendi lolote jema la hii nchi.
Kuna wanasheria wa serikali wazuri hawaongei sana watamaliza hilo wakipewa kazi.
 
Vitu vingi hutatuliwa kwa majadiliano yanayoleta maelewano, na vitu kusonga mbele. Ata wewe ukienda kule kwa utaratibu maalumu, ndege itaachiwa,
 
Hawezi kusaidia lolote anyway.
Yeye ni mtu anatumikia tumbo lake na hapendi lolote jema la hii nchi.
Kuna wanasheria wa serikali wazuri hawaongei sana watamaliza hilo wakipewa kazi.
Umenena vyema
 
Sukuma Gang nendeni mkairudishe kwani marehemu wenu ndiye aliyeiponza kwa upumbavu wake wa kihutu.

Hayo madeni marehemu wala hayamuhusu. Ingekuwa Sukuma gang wapo madarakani usingesikia huo ujinga. Mbona walijaribu wakashindwa.

Wee mpumbavu pesa mpige ninyi utetezi afanye Tundu Lissu!

Shithole!
Unawezqje kujiita Mtanzania kwa maneno kama hayo juu?
Ni nini haswa kilichokuingia na kukupeleka kutumia akili yako na kuanza kuwa mtenganishi wa makabila?Yaani Jamhuri ya Muungano Wao? Unawezaje mtu unaejiita una akili kawa unatukana Jamii/kabila nzima ya Wasukuma eti kwa sababu una kisasi binafsi na Hayati Rais?

....Hakuna genge, wala gang lelote Tanzania linaloitwa "Sukuma gang"
Mkome na mlegee kutumia kugha za utenganishi Nchini. Mkome. Jirekebisheni
 
Sukuma Gang ipo na ni wafuasi wa dikteta uchwara wala haihusiani na Kabila letu pendwa la Wasukuma. Tena ukome kulihusisha Kabila letu na hilo genge la wahamiaji haramu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…