Tundu Lissu tumia ujuzi wako wa sheria ndege iliyokamatwa iachiwe

Akitumwa sasa
 
Kwa kuwa Chadema wameamua kulamba asali na kuungana na awamu ya 6 basi tunamuomba Rais Samia amtume Tundu Lisu aende akaikomboe hiyo ndege kwani uzalendo wa Lisu utapimwa kwa kuwatetea watanzania na siyo kutetea kampuni la Acacia.
Wewe ni mpumbavu, mada umeanza vizuri sana na idea ilikua nzuri ila kwa upumbavu wako umeiharibu
 
Yule dogo ndio maana alivunjwa MAKONGORO.

Hanaga akili. Ni mtetezi wa MABEBERU.
 
Unajua sheria zipi?
Kabla sijaanza kukufundisha, tafuta kwanza volume la English Law by Kenneth Smith/Denis Kenan upate vimbwanga vya Lord Denning.
Jisomee Law of Contract, Law of Torts na Law of Property.
Then, we can talk.
Hapo itakuwa rahisi kunielewa.
 
Kabla sijaanza kukufundisha, tafuta kwanza volume la English Law by Kenneth Smith/Denis Kenan upate vimbwanga vya Lord Denning.
Jisomee Law of Contract, Law of Torts na Law of Property.
Then, we can talk.
Hapo itakuwa rahisi kunielewa.
  • Mimi nataka unifundishe Law of Contract,
  • hujui Sheria.
 
..kwasababu kesi imeendeshwa nje ya Tanzania basi wanasheria wa Tanzania iwe Lissu, Kibatala, Kabudi, Ackson, Mwakyembe, etc hawawezi kuwa mawakili wa utetezi.

..kesi ikiendeshwa nje ya nchi kwa mfano, Uingereza, Uholanzi, Afrika Kusini, etc ofisi ya mwanasheria mkuu wa serikali inalazimika kukodisha mawakili toka huko tunakoshtakiwa.
 
Kwanini awamu ya 6 wasimtumie huyohuyo kabudi? Au ni marehemu kwa sasa?, Ninavyo fahamu Kuna ndege ilikamatwa tukalipa wakaiachia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…