Tundu Lissu tumia ujuzi wako wa sheria ndege iliyokamatwa iachiwe


Unafikilia Kama mtoto mdogo,Fikra nyepesi hizi unazitoa wapi ndugu?Kwan kazi ya mwanasheria Mkuu ni ipi mpaka kutumia uzalendo wa mwananchi/mwanasiasa kama Lisu Kiko mbona ndege ambayo kimsimgi imekamatwa kwa Nchi kukiuka baadhi ya madai ya kihistoria?
 
Wakati Lisu anatetea Acacia alikuwa nani kwenye hiyo kampuni?
 
Hivi wewe, aliyekuroga kwamba kuonesha uzalendo Kwa watanzania ni kuokoa ndege nani??? Watanzania tuna kero nyingi.
 
Hapa huwezi kumuona na kuapia sijui kwa jina la nani.na hapa ndipo chadema wanapofeli Saba.wangeweza kujizolea umarufu .chuki inawala sana
 
Bashite na marehemu mme wake wangemuuwa Tundu Lissu nani angeenda kutetea ndege iachiwe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…