Frank I Ritte
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 1,003
- 1,350
Kweli akili yako ni jalala alitumbuliwa kumpisha Lissu wapi?.Alishatumbuliwa kumpisha Lisu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli akili yako ni jalala alitumbuliwa kumpisha Lissu wapi?.Alishatumbuliwa kumpisha Lisu
Alafu lisu yuko bize kulamba asali tuKweli akili yako ni jalala alitumbuliwa kumpisha Lissu wapi?.
Kweli akili yako ni jalala alitumbuliwa kumpisha Lissu wapi?.Alafu lisu yuko bize kulamba asali tu
Huna akiliKweli akili yako ni jalala alitumbuliwa kumpisha Lissu wapi?.
Sawa sina akili, jibu swali alitumbuliwa kumpisha Lissu wapi?.Huna akili
Lisu ada mamlaka gani kiserikali?Ila Lisu ana muda msafi wa kutetea Acacia?
Watanzania hawana haja ya kuteseka kuhusiana na kukamatwa kwa ndege ya Air Tanzania ambayo imefikisha miezi 6 sasa bila kuachiwa kwani walitumia kodi zao kusomesha wasomi wazuri wa sheria wenye uwezo wa kutetea hadi makampuni ya nje kama Acacia akina Tundu Lisu na wenzake.
Kwenye awamu ya tano kila ndege inapokamatwa Rais Magufuli alikuwa anamtuma Prof Kabudi na ndege zilikuwa zinaachiwa kwa kasi ya ajabu ndani ya mwezi mmoja kwa kutumia ujuzi wake wa sheria aliosomea kwa kodi za watanzania, leo kwenye awamu ya sita Prof. Kabudi ametumbuliwa hayupo.
Kwa kuwa Chadema wameamua kulamba asali na kuungana na awamu ya 6 basi tunamuomba Rais Samia amtume Tundu Lisu aende akaikomboe hiyo ndege kwani uzalendo wa Lisu utapimwa kwa kuwatetea watanzania na siyo kutetea kampuni la Acacia.
Wakati Lisu anatetea Acacia alikuwa nani kwenye hiyo kampuni?Unafikilia Kama mtoto mdogo,Fikra nyepesi hizi unazitoa wapi ndugu?Kwan kazi ya mwanasheria Mkuu ni ipi mpaka kutumia uzalendo wa mwananchi/mwanasiasa kama Lisu Kiko mbona ndege ambayo kimsimgi imekamatwa kwa Nchi kukiuka baadhi ya madai ya kihistoria?
Kwa nini msimbwambie fisadi Deo Mwanyika aliyekuwa mwanasberia wa AcaciaWakati Lisu anatetea Acacia alikuwa nani kwenye hiyo kampuni?
Hivi wewe, aliyekuroga kwamba kuonesha uzalendo Kwa watanzania ni kuokoa ndege nani??? Watanzania tuna kero nyingi.Watanzania hawana haja ya kuteseka kuhusiana na kukamatwa kwa ndege ya Air Tanzania ambayo imefikisha miezi 6 sasa bila kuachiwa kwani walitumia kodi zao kusomesha wasomi wazuri wa sheria wenye uwezo wa kutetea hadi makampuni ya nje kama Acacia akina Tundu Lisu na wenzake.
Kwenye awamu ya tano kila ndege inapokamatwa Rais Magufuli alikuwa anamtuma Prof Kabudi na ndege zilikuwa zinaachiwa kwa kasi ya ajabu ndani ya mwezi mmoja kwa kutumia ujuzi wake wa sheria aliosomea kwa kodi za watanzania, leo kwenye awamu ya sita Prof. Kabudi ametumbuliwa hayupo.
Kwa kuwa Chadema wameamua kulamba asali na kuungana na awamu ya 6 basi tunamuomba Rais Samia amtume Tundu Lisu aende akaikomboe hiyo ndege kwani uzalendo wa Lisu utapimwa kwa kuwatetea watanzania na siyo kutetea kampuni la Acacia.
Tunamtaka LisuKwa nini msimbwambie fisadi Deo Mwanyika aliyekuwa mwanasberia wa Acacia
Hapa huwezi kumuona na kuapia sijui kwa jina la nani.na hapa ndipo chadema wanapofeli Saba.wangeweza kujizolea umarufu .chuki inawala sanaWatanzania hawana haja ya kuteseka kuhusiana na kukamatwa kwa ndege ya Air Tanzania ambayo imefikisha miezi 6 sasa bila kuachiwa kwani walitumia kodi zao kusomesha wasomi wazuri wa sheria wenye uwezo wa kutetea hadi makampuni ya nje kama Acacia akina Tundu Lisu na wenzake.
Kwenye awamu ya tano kila ndege inapokamatwa Rais Magufuli alikuwa anamtuma Prof Kabudi na ndege zilikuwa zinaachiwa kwa kasi ya ajabu ndani ya mwezi mmoja kwa kutumia ujuzi wake wa sheria aliosomea kwa kodi za watanzania, leo kwenye awamu ya sita Prof. Kabudi ametumbuliwa hayupo.
Kwa kuwa Chadema wameamua kulamba asali na kuungana na awamu ya 6 basi tunamuomba Rais Samia amtume Tundu Lisu aende akaikomboe hiyo ndege kwani uzalendo wa Lisu utapimwa kwa kuwatetea watanzania na siyo kutetea kampuni la Acacia.
Chadema ni vilaza sanaHapa huwezi kumuona na kuapia sijui kwa jina la nani.na hapa ndipo chadema wanapofeli Saba.wangeweza kujizolea umarufu .chuki inawala sana
Bashite na marehemu mme wake wangemuuwa Tundu Lissu nani angeenda kutetea ndege iachiwe?Watanzania hawana haja ya kuteseka kuhusiana na kukamatwa kwa ndege ya Air Tanzania ambayo imefikisha miezi 6 sasa bila kuachiwa kwani walitumia kodi zao kusomesha wasomi wazuri wa sheria wenye uwezo wa kutetea hadi makampuni ya nje kama Acacia akina Tundu Lisu na wenzake.
Kwenye awamu ya tano kila ndege inapokamatwa Rais Magufuli alikuwa anamtuma Prof Kabudi na ndege zilikuwa zinaachiwa kwa kasi ya ajabu ndani ya mwezi mmoja kwa kutumia ujuzi wake wa sheria aliosomea kwa kodi za watanzania, leo kwenye awamu ya sita Prof. Kabudi ametumbuliwa hayupo.
Kwa kuwa Chadema wameamua kulamba asali na kuungana na awamu ya 6 basi tunamuomba Rais Samia amtume Tundu Lisu aende akaikomboe hiyo ndege kwani uzalendo wa Lisu utapimwa kwa kuwatetea watanzania na siyo kutetea kampuni la Acacia.
Angekufa Acacia wangetetewa na naniBashite na marehemu mme wake wangemuuwa Tundu Lissu nani angeenda kutetea ndege iachiwe?
HahahahahaSema hii imekaa kinafki sana
Hutaki Lisu asaidie taifa lake?Jamii Forums imejaa majitu mapumbavu mnoo.
Hutaki Lisu asaidie taifa lake?