Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Kipenga kimepulizwa, wito umetolewa.
Shime kila mtanzania anayechukia wizi, ufisadi, uuzwaji wa rasilimali za umma kwa wageni, utawala usiozingatia haki na heshima anaombwa kwa unyenyekevu kujiunga na Chama chenye mwelekeo chanya.
Ni Mh Tundu Lissu Mwenyekiti Taifa Chama cha demokrasia na maendeleo akitoa Mwaliko kwa heshima kabisa kila Mtanzania anakaribishwa.