Zimenunuliwa ndege kwa mikataba ya kificho. Kuna na mikataba mingi tu imefanywa kwa kificho.
Hoja ya msaada wako ni hii:
1. Kwa sheria za kimataifa (maana za ndani haiwezekani) Mtanzania ambaye ana maslahi na pesa zinazotumiwa katika kununua ndege hizo, hawezi kufungua kesi/mashitaka katika mahakama za kimataifa kutaka kujua ndege zimenunuliwa kwa mkataba upi na kwa fedha kiasi gani? Makampuni yaliyotuuzia ndege hayawezi kubanwa kisheria kuweka wazi fdh ngapi imetumika?
2. Mtanzania mwenye maslahi (locus stand) hawezi kufungua kesi/mashitaka kutaka mikataba na nchi za nje za manunuzi and whatever iwekwe wazi?