The best option is to ignore you! Have a nice Sunday!Tundu lisu ni nani kwenye nchi hii
Kwani umeulizia gharama za ndege hizo ukafichwa?Zimenunuliwa ndege kwa mikataba ya kificho. Kuna na mikataba mingi tu imefanywa kwa kificho.
Hoja ya msaada wako ni hii:
1. Kwa sheria za kimataifa (maana za ndani haiwezekani) Mtanzania ambaye ana maslahi na pesa zinazotumiwa katika kununua ndege hizo, hawezi kufungua kesi/mashitaka katika mahakama za kimataifa kutaka kujua ndege zimenunuliwa kwa mkataba upi na kwa fedha kiasi gani? Makampuni yaliyotuuzia ndege hayawezi kubanwa kisheria kuweka wazi fdh ngapi imetumika?
2. Mtanzania mwenye maslahi (locus stand) hawezi kufungua kesi/mashitaka kutaka mikataba na nchi za nje za manunuzi and whatever iwekwe wazi?
Sina neno jumapili njema karibu ibadani ndugu.The best option is to ignore you! Have a nice Sunday!
Tundu Antiphas Mughwai Lissu is a Tanzanian lawyer, CHADEMA politician and Member of Parliament for Singida East constituency since 2010. He is also the former President of Tanganyika Law Society, the bar association of Tanzania mainland, and Chief Legal Officer for Tanzanian opposition party CHADEMATundu lisu ni nani kwenye nchi hii
Baadhi ya wasifu kwenye hiyo bio ume expire kwa mfano kusema ni MP kwa sasa si kweli bali ni Former MPTundu Antiphas Mughwai Lissu is a Tanzanian lawyer, CHADEMA politician and Member of Parliament for Singida East constituency since 2010. He is also the former President of Tanganyika Law Society, the bar association of Tanzania mainland, and Chief Legal Officer for Tanzanian opposition party CHADEMA
ASNTE Dinazarde, nimekupenda sana kwa jibu hilo. Mimi I jst ignored hia maana nilijua anakebehi! Jibu zuri!Tundu Antiphas Mughwai Lissu is a Tanzanian lawyer, CHADEMA politician and Member of Parliament for Singida East constituency since 2010. He is also the former President of Tanganyika Law Society, the bar association of Tanzania mainland, and Chief Legal Officer for Tanzanian opposition party CHADEMA
Water finds its own level, tuna level tofauti, ngoja nitafute level yangu na wewe utafute level yakoSawa mkuu ngoja nimsikilizie
Kwenye ibada mnachezea simu?Nabii nani huyo anakukaririsha "Neno"?Sina neno jumapili njema karibu ibadani ndugu.
AminaWater finds its own level, tuna level tofauti, ngoja nitafute level yangu na wewe utafute level yako
Ni muda wa kutoa sadaka nilitoka kidogo nje kujibu commentKwenye ibada mnachezea simu?Nabii nani huyo anakukaririsha "Neno"?
Tuna wanasheria wengi tu hapa nchini, sio lazima umpe usumbufu Mh Rais Tundu LissuZimenunuliwa ndege kwa mikataba ya kificho. Kuna na mikataba mingi tu imefanywa kwa kificho.
Hoja ya msaada wako ni hii:
1. Kwa sheria za kimataifa (maana za ndani haiwezekani) Mtanzania ambaye ana maslahi na pesa zinazotumiwa katika kununua ndege hizo, hawezi kufungua kesi/mashitaka katika mahakama za kimataifa kutaka kujua ndege zimenunuliwa kwa mkataba upi na kwa fedha kiasi gani? Makampuni yaliyotuuzia ndege hayawezi kubanwa kisheria kuweka wazi fdh ngapi imetumika?
2. Mtanzania mwenye maslahi (locus stand) hawezi kufungua kesi/mashitaka kutaka mikataba na nchi za nje za manunuzi and whatever iwekwe wazi?
so many, so many, I do agree....................competence is what matters not numbers! again you ought to meet the wrath of rulers once you attempt filling such a case from withinTuna wanasheria wengi tu hapa nchini, sio lazima umpe usumbufu Mh Rais Tundu Lissu
Unapaswa ufungiwe kupokea sakramenti.Ni muda wa kutoa sadaka nilitoka kidogo nje kujibu comment
Speaking of competence, there are more laywers outchea who are competent than Mr Lissuso many, so many, I do agree....................competence is what matters not numbers! again you ought to meet the wrath of rulers once you attempt filling such a case from within
Sadaka nilisahau sasa usipotoa padre na waumi wananiangalia kama yuda.Unapaswa ufungiwe kupokea sakramenti.