Eddo Sambai
JF-Expert Member
- Aug 1, 2013
- 2,377
- 1,861
"nimeambiwa,nimesikia"mkuu mimi nilkjua tu siku jk akishuka nondo watabaki kutapatapa tu kama anavyofanya lissu sasa.
kumbe mtu ukiwa unawaza negative ndiyo uwezo kubwa wa kufikiri?,tundu lisu anawaza negative ni mzushi,mnafiki,mbea hilo halina ubishi,
ukiona mpaka rais anaona unafiki na umbe wa mtu huyo mtu ni mbea kweli.
tangu lisu apige marufuku watu wa jimboni kwake kutoshiriki kazi za maendeleo nikajua pale hakuna kiongozi kunashati na koti tu.
tidu lisu. anayekufahamu kuwa wewe ni munafiki.munzadiki.halafu alipeleza.lisema ovyo.lipiga kelele.lipotezaji la muda bungeni. likoswa hekima na maarifa wakati nilisomi.siyo rais pekee hata sisi watanzania na wananchi wakawaida. kwahiyo lisu munapo fika ajeda zito kama hizi zakuzungumuzia musitakabali wa nchi uwe unatulia nakujipanga kwakuwa wewe ni musomi hapo lazima kitokee cha maana.siyo kuwa unakurupuka na nakuaza kuota harusi silaa na josephina itakuwa lini.
Huyu jamaa ni mnafiki yeye si alisema muungano umevunjika sasa mambo ya kwenda Znz yametoka wapi au anatafuta "sympathy" ya wa Zanzibar.
namshangaa sana tundu la ushuzi sijui anaona WTZ kama makalio yake, acha uzezeta, mwanaizaya we, hiyo akili uliyopewa mbona unaitumia kuangamiza watu wasio na hatia? kama kweli mnania hiyo mbona mmejipanga ikiludi bungeni mtatoka nje ili katiba mpya isipatikane? ivi kweli nyie viongozi wa chadema mnawaza kwa kutumia nini? kweli mmevulugwa vya kutosha, kumbukeni mmetumwa kama wawakilishi bungeni kwa niaba ya Wananchi, mnavyokimbia vikao vya bunge wanaoumia ni wananchi waliowaagiza au matumbo yenu? acheni ubahadhuri wana watoka pabaya, wana wajambia -----. huyu mtu hafai ktk jamii ya kitanzania.
Namuona kama kalewa vile, eti Rais amuige Obama? khaa! ndio nini sasa.
Tundu Lissu ni mnafiki na mzandiki tu.
Nini tofauti ya mtu kusema "Zanzibar walishirikishwa kwenye mswaada wa katiba mpya" na kusema "Nimeelezwa/Nimeambia Zanzibar walishirikishwa kwenye mswaada wa katiba mpya", ukiona tofauti utagundua rais wako ndio kwanza MMBEYA halafu uzushi ...... ndio vinafuatakumbe mtu ukiwa unawaza negative ndiyo uwezo kubwa wa kufikiri?,tundu lisu anawaza negative ni mzushi,mnafiki,mbea hilo halina ubishi,
ukiona mpaka rais anaona unafiki na umbe wa mtu huyo mtu ni mbea kweli.
hata ukifikiria kwa makalio huwezi fikiria pumba namna hii!