Mlengo wa Kati
JF-Expert Member
- Feb 16, 2011
- 2,730
- 492
ila si mzandiki,,,,,,,mzandiki ni huyu anayechekea wauza unga
Usichanganye mada mh mzandiki kadanganya Watanzania habari ya TEC na CCT!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ila si mzandiki,,,,,,,mzandiki ni huyu anayechekea wauza unga
Eti analeta mambo ya "hearsay" anafikiri yuko mahakamani hapo? mijitu miongo, minafiki na mizandik tu, hata uitie ndani ya chupa itachomoa kidole.
Huyu jamaa ni mnafiki yeye si alisema muungano umevunjika sasa mambo ya kwenda Znz yametoka wapi au anatafuta "sympathy" ya wa Zanzibar.
Huyu jamaa ni mnafiki yeye si alisema muungano umevunjika sasa mambo ya kwenda Znz yametoka wapi au anatafuta "sympathy" ya wa Zanzibar.
Usichanganye mada mh mzandiki kadanganya Watanzania habari ya TEC na CCT!
Lakini Faizafox......hebu tuwe waungwana basis kidogo name kuacha ushabiki wa vyama uliochnaganyikana name ka udini kwa mbaali. Kosa la Tundu, name iweje kama aliyoyapigia kelele na wanasiasa engine hayakuwa kweli iweje rais aridhie muswada kurudi bungeni? Unadhani ni kwa sababu ya issue ya Zanzibar tu? Name unafiki, uzandiki etc was Lissu ni kwa faida ipi hasa, kwani umaarufu wake umeanzia kwenye hii habari ya katiba?
Lissu anashindana na tembo...
Boko haram huna unalolijua zaidi ya kuua wanafunzi wasio na hatia Nigeria, kaa kimya wenye akili wakiwa wanaongea!
Kasomajr lissu kaitwa Mzandiki kwa kusema TEC na CCT walipeka majina lakini hawakuteuliwa kwenye tume ya Warioba,sasa tundu lissu(mzandiki) aseme ukweli wake ni kweli TEC na CCT haina wajumbe ndani ya Tume? Haya aliyasema mwenyewe Lissu(mzandiki) wakati anasoma maoni ya kamati ya upinzani sheria na utawala bora!! Asikimbilie hoja ya zanzibar,uzandiki wake upo kwenye suala la TEC na CCT
kutohusishwa kwa TEC kumetolewa na padri Charles Kitima
Tundu Lissu ni muongo, mnafiki na mzandiki...
Huna hoja wewe kama rais wako wa mipasho
Katiba ya Tanzania inapaswa kujumuisha makundi yote tuepuke kuchukua mitazamo yenye mielekeo ya kichama.
mkuu Boko haram maana yake Elimu ya Magharibi ni haramu, Physics, Chemistry, Computer, Law, Engineering, Medicine, accountancy, sociology etc. Pata picha unazungumza na kilaza wa namna gani!?