nkongu ndasu
JF-Expert Member
- Jan 19, 2013
- 22,532
- 6,624
Rais anasema ameambiwa, amepashwa, amehabarishwa.
Yani anajitoa kwenye game...kwamba yeye hana makosa..hao waliompasha na kumhabarisha ndo wenye makosa.
:thumbdown:
Huyu jamaa ni mnafiki yeye si alisema muungano umevunjika sasa mambo ya kwenda Znz yametoka wapi au anatafuta "sympathy" ya wa Zanzibar.
tidu lisu. anayekufahamu kuwa wewe ni munafiki.munzadiki.halafu alipeleza.lisema ovyo.lipiga kelele.lipotezaji la muda bungeni. likoswa hekima na maarifa wakati nilisomi.siyo rais pekee hata sisi watanzania na wananchi wakawaida. kwahiyo lisu munapo fika ajeda zito kama hizi zakuzungumuzia musitakabali wa nchi uwe unatulia nakujipanga kwakuwa wewe ni musomi hapo lazima kitokee cha maana.siyo kuwa unakurupuka na nakuaza kuota harusi silaa na josephina itakuwa lini.kajipange, mnafki na mzandiki wa kupindukia wewe!!!
Huyo ni muongo tu hata aitishe press conference ya dunia nzima. TEC na CCT wameshirikishwa au hawakushirikishwa?
tidu lisu. anayekufahamu kuwa wewe ni munafiki.munzadiki.halafu alipeleza.lisema ovyo.lipiga kelele.lipotezaji la muda bungeni. likoswa hekima na maarifa wakati nilisomi.siyo rais pekee hata sisi watanzania na wananchi wakawaida. kwahiyo lisu munapo fika ajeda zito kama hizi zakuzungumuzia musitakabali wa nchi uwe unatulia nakujipanga kwakuwa wewe ni musomi hapo lazima kitokee cha maana.siyo kuwa unakurupuka na nakuaza kuota harusi silaa na josephina itakuwa lini.

Tundu Lissu ni muongo, mnafiki na mzandiki...
Tundu lisu yopo kama mtambomtambo hiv!,kama akitaka kuwa tahaira,au pengine ana radhi ya wazazi wake,sijui akili nyingi,mimi siyo mtaalam lkn huyu jamaa hayuko sawa.
Krappp........Tundu lisu yopo kama mtambomtambo hiv!,kama akitaka kuwa tahaira,au pengine ana radhi ya wazazi wake,sijui akili nyingi,mimi siyo mtaalam lkn huyu jamaa hayuko sawa.
kwa taarifa yako afadhali lissu mara 10000 kuliko jk...Tundu lisu yopo kama mtambomtambo hiv!,kama akitaka kuwa tahaira,au pengine ana radhi ya wazazi wake,sijui akili nyingi,mimi siyo mtaalam lkn huyu jamaa hayuko sawa.
CCM wakisikia jina la Tundu roho zinaanza kuwadunda utafikili wamefumaniwa.
Mi mate itawaruka sana kama mumeona ukwaju lakini ukweli unabaki pale pale Tundu Lissu ni "MNAFIKI" a.k.a MZANDIKIRais Anaonewa ......!Taaluma na akili za kuzaliwa hazimruhusu kukabiliana na mitihani kama hii.
Ni bora Dr Slaa awe raisi kuliko Tundu Lisu kuingia bungeni----JK, 2010