Tundu Lissu: Tutazipima kauli za Kikwete kwenye Kamati ya Katiba, Sheria na Utawala!


Mnafik,Mzandik,mfitin huyu,mtu mzima aieona haya,yote yake,sijui hata hyo degree yake ya sheria alipata akiwa na gPA ya ngapi tuuuu,
 
Mnafiki mwingine huyu hapa angalia hilo jicho la kinafiki
u
 
staki kuamini kwamba taarifa hizi rais hakuwa nazo "KWA USAHIHI WAKE," kwa maana ninaamini katika vikao vinavyofanyka kunakuwa na vihifadhi kumbukumbu vya kielektroniki kama vile video recording na sauti vya kutosha hii ikiwa ni pamoja na vyomba vya habar na vile vya kikao husika. Je? aliviptia kabla ya kutoa hotuba yake juzi?
 
Huyu jamaa ni mnafiki yeye si alisema muungano umevunjika sasa mambo ya kwenda Znz yametoka wapi au anatafuta "sympathy" ya wa Zanzibar.

hujui unaandika nini, unahitaji chakula ya ubongo kama hii anayowapa lissu.

Habari zenu ccm mmebaki kuleta hoja za kipuuzi kama hizi.
 
ngoja nitafute hotuba nihesabu kama kweli hearsays zimefika 9
 

Kwa Leo hii anaonekana mmoja tu katika harakati hizi!
Lakini kuna wanasheria wengi sana wako wamejificha wanatizama upepo na Siku upepo ukivuma kwa wapinzani kuelekea kushinda basi wengi sana tutawaona waziwazi!

Keep it up Lissu!
 
Akili ya Kuambiwa; kuasikia changanya na za kwako raisi kakosea sana kashindwa kupata taarifa ya upande wa pili ili kubalance mambo
Mnafiki mwingine huyu
hapa angalia hilo jicho la
kinafiki
u
 
Hiki Kipadri nacho kina abudu wazungu!


ubaguzi wa dini ni sumu ya umoja amani na mshikamano.

Kama si ujinga unakusumbua basi itakuwa wasumbuliwa na ugaidi, katika mada hii suala la imani ya mtu linatoka wapi?
 
Mheshimiwa raHISI amerelie kwenye hearsay evd which is not final and conclusive to determine a matter, amepotoshwa akapotoka, akaconclude kumuita tundu mzandiki, washauri wa raHISI wanaharibu reputation ya RAIS na kumfanya kuwa RAHISI
 
huyo ndio mbunge wetu na mnadhimu wa upinzani bungeni,singida tunarasilimali nyingi including bongo kama za mbunge
 
Huyu jamaa ni mnafiki yeye si alisema muungano umevunjika sasa mambo ya kwenda Znz yametoka wapi au anatafuta "sympathy" ya wa Zanzibar.
Duh! wewe mfia dini bado unafikiri kwa makalio mpaka leo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…