Alipokuwa anaropoka mapungufu ya viongozi wenzake na kutoa lawama za kijinga hakujua haya sasa vinamchachia anaanza kuelewa dhamana ya uongozi sio harakati pekee inahitaji umoja na mshikamano kwa unaowaongoza ili mfikie malengo yenu.
Mzee mzima kakausha kimya yupo zake China na hela zake mlizomtukania ingali aliwafaa sana na mkaweza kupanda kwenye majukwaa na kupata umaarufu kupitia pesa zake kwa sasa mnaelewa sasa tafuteni hela si mlidhani ni rahisi kiasi hicho?