Dah! matumaini mengine ni kama kutegemea miujiza!Jeraha la dalali mjaluo Henje lisipopona mumfukuze akajiuguze.
Huyu Wenje naye kweli atakuja aponyeshe majeraha na iwe kama kawaida tena ndani ya chama?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah! matumaini mengine ni kama kutegemea miujiza!Jeraha la dalali mjaluo Henje lisipopona mumfukuze akajiuguze.
Ni jambo rahisi tu ungejiuliza mwenyewe, na uharo wote huu usingekuwa wa lazima.Alipokuwa anaropoka mapungufu ya viongozi wenzake na kutoa lawama za kijinga hakujua haya sasa vinamchachia anaanza kuelewa dhamana ya uongozi sio harakati pekee inahitaji umoja na mshikamano kwa unaowaongoza ili mfikie malengo yenu.
Mzee mzima kakausha kimya yupo zake China na hela zake mlizomtukania ingali aliwafaa sana na mkaweza kupanda kwenye majukwaa na kupata umaarufu kupitia pesa zake kwa sasa mnaelewa sasa tafuteni hela si mlidhani ni rahisi kiasi hicho?
Yeye amemtukana nani?Alipokuwa anaropoka mapungufu ya viongozi wenzake na kutoa lawama za kijinga hakujua haya sasa vinamchachia anaanza kuelewa dhamana ya uongozi sio harakati pekee inahitaji umoja na mshikamano kwa unaowaongoza ili mfikie malengo yenu.
Mzee mzima kakausha kimya yupo zake China na hela zake mlizomtukania ingali aliwafaa sana na mkaweza kupanda kwenye majukwaa na kupata umaarufu kupitia pesa zake kwa sasa mnaelewa sasa tafuteni hela si mlidhani ni rahisi kiasi hicho?
Ainisha hayo matusi?Yaani matusi atukane yeye kwa kinywa chake, halafu BAZECHA wakamsaidie kuyaponya?!