Pre GE2025 Tundu Lissu: Uchaguzi wetu ulikuwa mkali sana. Nimewapa BAZECHA jukumu la kusaidia kuponya majeraha ya Uchaguzi

Pre GE2025 Tundu Lissu: Uchaguzi wetu ulikuwa mkali sana. Nimewapa BAZECHA jukumu la kusaidia kuponya majeraha ya Uchaguzi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Jeraha la dalali mjaluo Henje lisipopona mumfukuze akajiuguze.
Dah! matumaini mengine ni kama kutegemea miujiza!
Huyu Wenje naye kweli atakuja aponyeshe majeraha na iwe kama kawaida tena ndani ya chama?
 
Alipokuwa anaropoka mapungufu ya viongozi wenzake na kutoa lawama za kijinga hakujua haya sasa vinamchachia anaanza kuelewa dhamana ya uongozi sio harakati pekee inahitaji umoja na mshikamano kwa unaowaongoza ili mfikie malengo yenu.

Mzee mzima kakausha kimya yupo zake China na hela zake mlizomtukania ingali aliwafaa sana na mkaweza kupanda kwenye majukwaa na kupata umaarufu kupitia pesa zake kwa sasa mnaelewa sasa tafuteni hela si mlidhani ni rahisi kiasi hicho?
Ni jambo rahisi tu ungejiuliza mwenyewe, na uharo wote huu usingekuwa wa lazima.
Huyo "mropokaji" ndiye aliye pata kura nyingi, pamoja na huo unaouita uropokaji wewe!
Kwa nini usijiulize mwenyewe kuwa pengine kwenye uropokaji wake huo kuna yaliyo eleweka na hao wapiga kura.

Watu wa aina yako ndio mtakao endelea kuleta vurugu ndani ya chama; makovu yenu hayaponi. Dawa pekee ni kuondoa kabisa ndani ya chama virusi vya aina yenu.
 
Alipokuwa anaropoka mapungufu ya viongozi wenzake na kutoa lawama za kijinga hakujua haya sasa vinamchachia anaanza kuelewa dhamana ya uongozi sio harakati pekee inahitaji umoja na mshikamano kwa unaowaongoza ili mfikie malengo yenu.

Mzee mzima kakausha kimya yupo zake China na hela zake mlizomtukania ingali aliwafaa sana na mkaweza kupanda kwenye majukwaa na kupata umaarufu kupitia pesa zake kwa sasa mnaelewa sasa tafuteni hela si mlidhani ni rahisi kiasi hicho?
Yeye amemtukana nani?
Yeye aliiba uchaguzi ili ajichague?
Kwani kusema kuna majeraha hakujua kama kuna kushindwa na kushindwa?

Mnapokoment mnakuwa na mawazo tofauti na hoja ya inayozungumzwa.
 
Dr.Slaa pia karejea lile kovu alilolipata baada ya Mwenyekiti kugeuza gia angani limeshapona.

Kwenye siasa hayo ni mambo ya kawaida.
 
Back
Top Bottom