Tundu Lissu ukivurunda CHADEMA utasahaulika ungali hai!

fazili

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2011
Posts
16,427
Reaction score
22,418
Mheshimiwa Tundu Lissu kufanya siasa bila kuungwa mkono na watu (popular support) ni kazi bure. Siasa ni watu.

Tundu Lissu tambua kuwa tofauti kati ya watu zipo lakini sio lazima ziwe sababu ya migawanyiko na mafarakano.

Kila wakati jaribu kukwepa mitafaruku hata kama sababu za mitafaruku zipo. Hiyo ndio changamoto kubwa ya vyama vya siasa popote pale duniani, ni uwezo wa kusimama imara wakati wa dhoruba.

Mheshimiwa Tundu Lissu umefanya kazi kubwa ya kutetea haki na utawala bora Tanzania. Umaarufu wako unatoka kwa watanzania wanaopenda haki. Usisahau pia kuwa umaarufu wako kwa kiasi kikubwa sana unatoka ndani ya Chadema.

Ukilivuruga ndani ya Chadema umelivuruga popote na utaishia kutupwa kama tambara bovu na hata madhila yote yaliyokupata ukiwa Chadema hayatakuwa na thamani tena. Watu watakuona mwendawazimu na utasahaulika na watanzania mara moja ungali bado hai.

Tundu Lissu fanya kazi ya kuleta mshikamano Chadema na epuka kuwa chanzo cha mitafaruku isiyo na tija kisiasa.
 
Kama CHADEMA inakwenda tofauti na anavyoamini akubali tu kwa sababu anaogopa mgogoro na chama?
 
Muache ajifanye Yuko race

Wenzie wanataka kurudi Bungeni yeye anawaza mambo ya Urais ambao hatokaa aupate.
 
Back
Top Bottom