Msikilize Lissu akitoa elimu ya uraia, kumbe usalama wa taifa (TISS) hawana mamlaka ya kamata-kamata wakosoaji au wanaopinga serikali. Lissu anadai sheria iliyoandikwa na bunge kuanzisha TISS imeelekeza hivyo, sijui kwanini vongozi wetu walituficha suala hilo muda wote huu.