Mungu mbariki Tundu LissuMsikilize Lissu akitoa elimu ya uraia, kumbe usalama wa taifa (TISS) hawana mamlaka ya kamata-kamata wakosoaji au wanaopinga serikali. Lissu anadai sheria iliyoandikwa na bunge kuanzisha TISS imeelekeza hivyo, sijui kwanini vongozi wetu walituficha suala hilo muda wote huu.
It's just a matter of time. Umri bado unamruhusu saanaLissu kuzaliwa Bongo, kulikuwa na makusudi maalumu na ipo siku dhumuni hilo litatimia.
Ukisema hivyo ni kama vile kuna jeshi ndio lina kibali kisheria kukamata wakosoaji wa serikali. Hakuna jipya alilosema hapo ndugu yetu Tundu Lissu.Msikilize Lissu akitoa elimu ya uraia, kumbe usalama wa taifa (TISS) hawana mamlaka ya kamata-kamata wakosoaji au wanaopinga serikali. Lissu anadai sheria iliyoandikwa na bunge kuanzisha TISS imeelekeza hivyo, sijui kwanini vongozi wetu walituficha suala hilo muda wote huu.
Zakaria wa Musoma akisoma post yako atakuona wewe ni yule mbunge bwege😅Hilo kila mtu anajua
Ndio sababu hujasikia malalamiko
Kipenzi chako jiwe alikusudia kuua kabisa upinzani halisi.Ukisema hivyo ni kama vile kuna jeshi ndio lina kibali kisheria kukamata wakosoaji wa serikali. Hakuna jipya alilosema hapo ndugu yetu Tundu Lissu.
Iko hivi, askari wote ni kama mimi na wewe, wanaweza kutii amri isiyo halali kulinda vibarua vyao. Lazima kuwe na taasisi imara zinazoweza kulinda yeyote sheria ikichezewa.
Unfortunately, hili litawezekana pale CCM watapogundua muda wao kutawala upo ukingoni penda wasipende! Pale tutapokuja kuwa na wapinzani halisi na si mapandikizi ya watu!
Kwani unafikili wao hawapigi, wanapiga Sana,Hawa jamaa wa tiss hata siwaelewi wananusa nini hasa maana watu wanafuja tu pesa za umma bila hofu na wao wakiwepo sasa sijajua sijui ni nje ya majukumu yao.
HII NI KWELI.WANATAKIWA KUSIMAMIA MASLAHI YA TAIFA WALA SIYO KUEGEMEA CHAMA CHOCHOTE.Msikilize Lissu akitoa elimu ya uraia, kumbe usalama wa taifa (TISS) hawana mamlaka ya kamata-kamata wakosoaji au wanaopinga serikali. Lissu anadai sheria iliyoandikwa na bunge kuanzisha TISS imeelekeza hivyo, sijui kwanini vongozi wetu walituficha suala hilo muda wote huu.
Ndugu unaweza kufafanua hapo kwenye hiyo ajenda kwa kina ili na sisi mangumbalu tutoke gizani......??Shida ya lisu ni Agenda zake za ushoga ila ni kiongozi mzuli.
sawaMsikilize Lissu akitoa elimu ya uraia, kumbe usalama wa taifa (TISS) hawana mamlaka ya kamata-kamata wakosoaji au wanaopinga serikali. Lissu anadai sheria iliyoandikwa na bunge kuanzisha TISS imeelekeza hivyo, sijui kwanini vongozi wetu walituficha suala hilo muda wote huu.
Muulize Zakaria wa Tarime, alikamatwa na hao hao,Kama siyo ujeuri wa kikurya leo habari yake ingekuwa nyingine.Hilo kila mtu anajua
Ndio sababu hujasikia malalamiko
..aliyoyasema sio mapya kwako, je umejiuliza ni mapya kwa Watanzania wangapi?Ukisema hivyo ni kama vile kuna jeshi ndio lina kibali kisheria kukamata wakosoaji wa serikali. Hakuna jipya alilosema hapo ndugu yetu Tundu Lissu.
Iko hivi, askari wote ni kama mimi na wewe, wanaweza kutii amri isiyo halali kulinda vibarua vyao. Lazima kuwe na taasisi imara zinazoweza kulinda yeyote sheria ikichezewa.
Unfortunately, hili litawezekana pale CCM watapogundua muda wao kutawala upo ukingoni penda wasipende! Pale tutapokuja kuwa na wapinzani halisi na si mapandikizi ya watu!