Kipenzi chako jiwe alikusudia kuua kabisa upinzani halisi.
Upo sahihi kabisa boss...Iko hivi, askari wote ni kama mimi na wewe, wanaweza kutii amri isiyo halali kulinda vibarua vyao. Lazima kuwe na taasisi imara zinazoweza kulinda yeyote sheria ikichezewa.
Muhimu hiyo sheria izingatiwe.Cjaona jipya alilosema,hata humu hy sheria ishajadiliwa
inazingatiwa sana,ukipitiliza ndo hivyoMuhimu hiyo sheria izingatiwe.
Sasa hiyo mipaka ambayo hutakiwi kuivuka ndio utatainazingatiwa sana,ukipitiliza ndo hivyo
hahahahahaSasa hiyo mipaka ambayo hutakiwi kuivuka ndio utata
Andiko lililonyooka kabisa; isipokuwa huo mstari mmoja na nusu wa mwisho..Ukisema hivyo ni kama vile kuna jeshi ndio lina kibali kisheria kukamata wakosoaji wa serikali. Hakuna jipya alilosema hapo ndugu yetu Tundu Lissu.
Iko hivi, askari wote ni kama mimi na wewe, wanaweza kutii amri isiyo halali kulinda vibarua vyao. Lazima kuwe na taasisi imara zinazoweza kulinda yeyote sheria ikichezewa.
Unfortunately, hili litawezekana pale CCM watapogundua muda wao kutawala upo ukingoni penda wasipende! Pale tutapokuja kuwa na wapinzani halisi na si mapandikizi ya watu!
Na polisi hao hao hawaijui PGO yao , interesting!Na kisheria ni jeshi la polisi tu ndio wenye uwezo to arrest na lazima wafuate arresting procedures
Nimesoma andiko lako lote lililotanguliwa na mstari huo hapo juu...aliyoyasema sio mapya kwako, je umejiuliza ni mapya kwa Watanzania wangapi?
Hao kazi yao ni kuratibu wizi wa kura ili CCM iendelee kubaki madarakani kimabavuHawa jamaa wa tiss hata siwaelewi wananusa nini hasa maana watu wanafuja tu pesa za umma bila hofu na wao wakiwepo sasa sijajua sijui ni nje ya majukumu yao.