Uchaguzi 2020 Tundu Lissu usijidanganye; Watanzania siyo wajinga kama wananchi wa Belarus wanaoshinikizwa na mabeberu wamtoe Rais wao madarakani

Tutolee ujinga wako,peleka kwa wajinga wenzio. Lissu anakulaza Sana macho.
 
we utakuwa mlupo wa mzee wa kugeuzia gia angani. vip umeshajiandaa kwa kupigwa tatu bila au ndiyo hadi uhonge upate uteuzi wa viti maalum??
 
Back
Top Bottom