Tundu Lissu: Vincent Mashinji alikosa uadilifu ndani ya CHADEMA. Hakuna pengo kuondoka kwake

Nadhani Lissu anasema ukuweli kuwa hapo CDM hakuna waaminifu na mfano ametolea Dk sasa najiridhisha pasipo shaka kuwa hata yeye siku fulani kutokuwa na uaminifu kwake kutatajwa na mtu fulani au ipo siku atamtaja hata The BOSS

Sent using Jamii Forums mobile app
 

CHADEMA kuna tatizo la msingi.

Nadhani kuna masuala ndani ya chama ambayo ni ‘unmentionable’ na kuna watu au mtu ndani ya hicho chamba ambaye ni ‘untouchable’.

Ukiyataja mambo hayo au ukijaribu kumgusa mtu huyo, unakwenda na maji.

Unakumbuka jinsi Zitto Kabwe, Kitila Mkumbo, na Samson Mwigamba walivyofukuzwa kutoka kwenye chama?

Kuna kitu hakiko sawa humo CHADEMA.
 
Si ajabu hata yeye yukokwenye payroll.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wafu wamehamia kwa wafu wenzao! Waache waendelee na ufu wao huko walikoelekea.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyani, mambo mengine unaacha yapite kuliko kuleta mtafaruku kuwa walimfukuza. As long as hakuna athali wakati unasubiri nature to take its course unaacha yapite
So formulaic.

After the fact, you trash him.

Why didn’t you [trash him] before the fact?

Sour grapes [emoji524].

Sent using Jamii Forums mobile app
 
unabishana na sanamu za ccm ?
 
Je wanaondoka wenyewe kwa sababu ya matatizo ya Chadema ama wanalipwa ? Ukweli ni kwamba wananunuliwa , sasa mtu kama Mashinji au Waitara unamnunua ili iweje ? ukiishangaa chadema basi unatakiwa uishangae na ccm inayokubali ushauri wa Polepole wa kununua watu wasio na ushawishi wowote na kuwapa vyeo huku wanachama halali wakitoswa .
 
Kinachonunuliwa ni KITI siyo mtu bwashee!
 
I have never noticed his existence as Secretary-General in CHADEMA. As he left the party I also see no impact on the party.
 
Kuna upotoshaji mkubwa kama vyama vimekatazwa kufanya siasa kilichokatazwa sio siasa ila ni mikutano ya umma ambayo inahusisha kila mtu hata yule ambaye sio mwanachama. Mikutano kama hiyo inafanyika wakati wa kampeni tu na si wakati mwingine. Huwezi kuwa na chama kimoja kinaongoza nchi na vingine vinapiga kapeni, huwezi kuwa na usawa katika siasa kama wengine wanaongoza nchi na wengine wanafanya kampeni.

Kama unafikiri mlio wafukuza ndio "Mercenaries" je waliobaki wao sio "Mercenaries"?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…