Tundu Lissu: Vincent Mashinji alikosa uadilifu ndani ya CHADEMA. Hakuna pengo kuondoka kwake

Tundu Lissu: Vincent Mashinji alikosa uadilifu ndani ya CHADEMA. Hakuna pengo kuondoka kwake

Kuna upotoshaji mkubwa kama vyama vimekatazwa kufanya siasa kilichokatazwa sio siasa ila ni mikutano ya umma ambayo inahusisha kila mtu hata yule ambaye sio mwanachama. Mikutano kama hiyo inafanyika wakati wa kampeni tu na si wakati mwingine. Huwezi kuwa na chama kimoja kinaongoza nchi na vingine vinapiga kapeni, huwezi kuwa na usawa katika siasa kama wengine wanaongoza nchi na wengine wanafanya kampeni.

Kama unafikiri mlio wafukuza ndio "Mercenaries" je waliobaki wao sio "Mercenaries"?
Ni dhahiri huna akili timamu au labda umelogwa ili uwe kikaragosi cha mtu ili uwe ndondocha , huo upumbavu ulioandika hapo ndio ulioandikwa kwenye Katiba ya Nchi ? hivi mnadhani waliotunga Katiba hawakuwa na akili ?
 
Huyo Mashinji ana rundo la vyeti na cv ni exceptional. Lakini utendaji ulikuwa sifuri. Aliwekwa akidhaniwa atafanya vyema kanda ya ziwa.

Ila kusoma na kuelimika ni vitu viwili tofauti kabisa. Maana unaweza ukawa msomi ambaye hujaelimika!
Kweli, tunao mpaka maprofesa wa kuokotwa majalalani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo Mashinji ana rundo la vyeti na cv ni exceptional. Lakini utendaji ulikuwa sifuri. Aliwekwa akidhaniwa atafanya vyema kanda ya ziwa.

Ila kusoma na kuelimika ni vitu viwili tofauti kabisa. Maana unaweza ukawa msomi ambaye hujaelimika!
Kwa CV ile hata mimi ningemteua aisee lakini kumbe hamna kitu. Kusoma ni kuzuri sana lakini kama umesoma Diploma usipate maendeleo( sio lazima yawe ya pesa), ukapata degree usipate maendeleo( siyo lazima yawe ya mali) na hapo hapo ukafanya masters bado ukaa huwezi kupata maendeleo hapo ujue hata ukipata Phd ni kazi bure. Na ndio walio wasomi wengi. Wasipopata nafasi za kuteuliwa hakuna wanaloweza kwa uwezo wao binafsi.
 
Mnyika is by far better than the gone Mashinji.
Dude!,
It's less than a quarter of a year, let him finish one year in office and he will be measured fairly and squarely.
Don't praise him now when he has nothing to show more than few pressers with the journos.
 
Mashinji zaidi ya hivyo vyeti vyake sioni kama ana uwezo wa kuongoza chochote kile. Labda familia yake.

Unaweza kuta na yeye ni wale waliokariri tu. Mavyeti yote hayo halafu hakuna utofauti aliouleta tujuwe alielimika!
Kumbuka kilichompoteza Saa 9 ni kuuliza uhalali wa Phd ya baba fulani. Zingine sio phd ni ......
 
Tundu Lissu kaleta argument ya kijinga inayoweza kuwaridhisha watu wenye mahaba na waliojitoa akili.

CHADEMA inatakiwa ijipange kuhusu vetting. Inawezekana kila mikakati inayopanga inavuja kwa CCM kwa sababu viongozi wanakwenda CCM na kutoa siri huko.

Si jambo la leo wala mara moja. Wameanza kuondoka kina Dr. Walid Amani Kabourou huko. Shibuda alivyoingia CHADEMA niliwatahadharisha atawaletea matatizo, namjua personally. Hawakunisikia. Kilichofuatia ni fedheha.

Habari ni ile ile kwa Lowassa, Sumaye na sasa Mashinji.

Ama CHADEMA ina udhaifu katika sera na uongozi wake, watu wanaona chama hakifai wanaondoka, ama ina udhaifu katika kuchuja viongozi.

Either way, that is not a good look.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo la vetting hata huko lipo tena limekuwa sugu ndiyo maana teua tumbua teua tumbua teua tumbua teua tumbua teua tumbua haziishi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dude!,
It's less than a quarter of a year, let him finish one year and he will be measured fairly and squarely.
Don't praise him now when he has nothing to show more than few pressers with the journos.
We know him, we have seen him before in the parliament, we expect more from him though he has remained a little quiet lately. He is incomparable to the former.
 
Hayaa bana.Sasa makamu mwnyekiti kazi zinaendaje au ndio unawakilishwa na Nyalandu?
maana like the past 2 hours mchana huu nimekutana na top wetu CDM hapa oysterbay shopping centre wakiwa na Nyalandu guese walikua na meeting pale.nisan patrol V8 T435 DEW, driver nyalandu, mwenyekiti katulia pembeni..
 
Tundu Lissu kaleta argument ya kijinga inayoweza kuwaridhisha watu wenye mahaba na waliojitoa akili.

CHADEMA inatakiwa ijipange kuhusu vetting. Inawezekana kila mikakati inayopanga inavuja kwa CCM kwa sababu viongozi wanakwenda CCM na kutoa siri huko.

Si jambo la leo wala mara moja. Wameanza kuondoka kina Dr. Walid Amani Kabourou huko. Shibuda alivyoingia CHADEMA niliwatahadharisha atawaletea matatizo, namjua personally. Hawakunisikia. Kilichofuatia ni fedheha.

Habari ni ile ile kwa Lowassa, Sumaye na sasa Mashinji.

Ama CHADEMA ina udhaifu katika sera na uongozi wake, watu wanaona chama hakifai wanaondoka, ama ina udhaifu katika kuchuja viongozi.

Either way, that is not a good look.

Sent using Jamii Forums mobile app
I couldn't agree more!
You nailed it mkuu.
 
Huna hoja , tunatambua kwamba unahangaika kuandika humu ili kujikimu na umasikini unaokukabili , endelea kupambana na njaa
Dr Mashinji amekimbia kufa njaa hapo Ufipa kama yule mtangulizi wake aliyekuwa anaishi kwa mihogo ya kuchoma!
 
we expect
I think this is the key phrase "we expect".
The point is, it's all about EXPECTATION, so let time decide if he will perform according to your expectations.
You can not judge him now.
 
Back
Top Bottom