Tundu Lissu, vita na Wasafi hutoiweza, utagalagazwa wewe na chama chako

ni kweli unachosema ila tu wanamuziki wa Tanzania wengi wanachosimamia ni pesa na wanajua wanasiasa wanawatumia hivyo nao wanawatumia wanasiasa ki ufupi wanatumiana wanajua wanasiasa wanahitaji sanaa yao kuwavuta wananchi na wanasiasa wanajua wasanii nao wanataka pesa maana umaarufu bila pesa ni kazi bure siku ukisikia mwanachi anaomba apigiwe redioni au kwenye luninga hotuba ya Magufuli Samia Mbowe ama mwanasiasa badala ya wimbo wa Diamond ,Ney wa Mitego, Hamonize au alikiba ujue wanasiasa watakuwa wameanza kuaminika kuliko wasanii na hii ni duniani kote na kushauri usome kitabu The Best Democracy Money Can Buy - By Greg Palast
 
Wasafi takataka tu
 
ndio kusema "paka mate iteleze" hata kama ni burudani io ni too much kwa jamii
 
Dah...
JPM alikua anampaisha sana lisu. Sasa hivi ndio kaingia huku kwa mondi kupata airtime.
Sio bure maneno ya ndugai kuhusu nyani kushangilia mkulima kufariki ndio yanaeleweka hapa...
 
Wanawake wa Daimond, wanafuasi wengi kuliko BAVICHA na BAWACHA nchini na njee ya nchi. Hasa kwenye mitandao yote. Siyo chadema tu. Na CCM kwa pamoja
 
Dah...
JPM alikua anampaisha sana lisu. Sasa hivi ndio kaingia huku kwa mondi kupata airtime.
Sio bure maneno ya ndugai kuhusu nyani kushangilia mkulima kufariki ndio yanaeleweka hapa...
Wamefirisika wamekosa topic.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…