Tundu Lissu, vita na Wasafi hutoiweza, utagalagazwa wewe na chama chako

Tundu Lissu, vita na Wasafi hutoiweza, utagalagazwa wewe na chama chako

Tundu lissu ni mwanaharakati na mhanga wa utawala wa CCM.Diamond ni mwanmuziki,mtafuta pesa na anyeangalia maslahi yake zaidi.Hawa ni watu wawili tofauti kama Myahudi na mwanachama wa Chama cha Nazi cha Hitler.Lissu ametoa maoni yake na ni vyema yaheshimiwe lakini kumtishia kuwa wasafi ni jeshi kubwa ni kujidanganya.Ni ukweli usiofichika kuwa wanamuziki wa Tanzania hawajui wanchosimamia.
ni kweli unachosema ila tu wanamuziki wa Tanzania wengi wanachosimamia ni pesa na wanajua wanasiasa wanawatumia hivyo nao wanawatumia wanasiasa ki ufupi wanatumiana wanajua wanasiasa wanahitaji sanaa yao kuwavuta wananchi na wanasiasa wanajua wasanii nao wanataka pesa maana umaarufu bila pesa ni kazi bure siku ukisikia mwanachi anaomba apigiwe redioni au kwenye luninga hotuba ya Magufuli Samia Mbowe ama mwanasiasa badala ya wimbo wa Diamond ,Ney wa Mitego, Hamonize au alikiba ujue wanasiasa watakuwa wameanza kuaminika kuliko wasanii na hii ni duniani kote na kushauri usome kitabu The Best Democracy Money Can Buy - By Greg Palast
 
Kaka Goodluck mapenzi hayalazimishwi & uzalendo sio kuunga mkono kila kitu cha nchi yako hata kama hakistahili. @Diamondplatinumz sio Roma Mkatoliki au Ney wa Mitego au mrithi wa Bob Marley. Hajawahi kusimama kwenye haki, au kupinga maovu ya nchi hii. Mimi binafsi simuungi mkono!
View attachment 1807079
Lissu nakushauri kabisa achana na habari za Diamond maana vita yake hauiwezi. Diamond anafanya sanaa na anawapa watu burudani.

Team Wasafi ni jeshi kubwa na likishambulia linashambulia kama waveitnamu.

Yeye kuchagua chama cha CCM chama cha watoto wa mjini, kosa lake mpaka wewe na wafuasi wako wa Chadema kumshambulia mitandaoni ni lipi?

Mnahubiri haki ila haki ya wenzenu kuchagua wanachopenda hamuitaki. Huu mbona ni udikteta sasa, siku mkipewa nchi watu wasiounga mkono chama chenu hakuna rangi wataacha ona hapa. Hamna polisi hamna jela ila mnataka kila mtu aamini mnachoamini kwa mabavu akiwa tofauti ni adui.

Beyonce alimpigia Hillary Clinton kampeni za kufa mtu ila Trump akachukua nchi, Trump akumgeuza Beyonce adui wala Republican hawakuanzisha vita na Beyonce kwanza full unyamwezi yani Beyonce support bila kujali vyama.

Lissu na viongozi wa huko dizaini yako mnafanya vijana wa kisasa wasivutiwe na Chadema. Yani kwa kifupi mnatuonyesha nyie sio watu poa, kwenu huko ni vurugu, visasi, ukamanda, usela nnya ndio umejaa mpo so harsh [emoji37][emoji37] mnayafanya maisha kama kitu kigumu sana.

Hili ni onyo Lissu fanya siasa zako na kina Polepole achana na Wasafi kama unahitaji kuungwa mkono na watoto wa mjini
Wasafi takataka tu
 
Hayo mambo tulishayaacha huko zamani sasa hivi music,michezo ni biashara hivyo diamond, music unamalengo makuu matatu kuelimisha,kuburudisha na ajila sasa mtu ukichagua music kama ajila kuna ubaya gani? , wakina roma na ney wamechagua music wa uhanaharakati na kuelimisha kwani kuna ubaya gani tubadilike.
ndio kusema "paka mate iteleze" hata kama ni burudani io ni too much kwa jamii
 
Kaka Goodluck mapenzi hayalazimishwi & uzalendo sio kuunga mkono kila kitu cha nchi yako hata kama hakistahili. @Diamondplatinumz sio Roma Mkatoliki au Ney wa Mitego au mrithi wa Bob Marley. Hajawahi kusimama kwenye haki, au kupinga maovu ya nchi hii. Mimi binafsi simuungi mkono!
View attachment 1807079
Lissu nakushauri kabisa achana na habari za Diamond maana vita yake hauiwezi. Diamond anafanya sanaa na anawapa watu burudani.

Team Wasafi ni jeshi kubwa na likishambulia linashambulia kama waveitnamu.

Yeye kuchagua chama cha CCM chama cha watoto wa mjini, kosa lake mpaka wewe na wafuasi wako wa Chadema kumshambulia mitandaoni ni lipi?

Mnahubiri haki ila haki ya wenzenu kuchagua wanachopenda hamuitaki. Huu mbona ni udikteta sasa, siku mkipewa nchi watu wasiounga mkono chama chenu hakuna rangi wataacha ona hapa. Hamna polisi hamna jela ila mnataka kila mtu aamini mnachoamini kwa mabavu akiwa tofauti ni adui.

Beyonce alimpigia Hillary Clinton kampeni za kufa mtu ila Trump akachukua nchi, Trump akumgeuza Beyonce adui wala Republican hawakuanzisha vita na Beyonce kwanza full unyamwezi yani Beyonce support bila kujali vyama.

Lissu na viongozi wa huko dizaini yako mnafanya vijana wa kisasa wasivutiwe na Chadema. Yani kwa kifupi mnatuonyesha nyie sio watu poa, kwenu huko ni vurugu, visasi, ukamanda, usela nnya ndio umejaa mpo so harsh 😖😖 mnayafanya maisha kama kitu kigumu sana.

Hili ni onyo Lissu fanya siasa zako na kina Polepole achana na Wasafi kama unahitaji kuungwa mkono na watoto wa mjini
Dah...
JPM alikua anampaisha sana lisu. Sasa hivi ndio kaingia huku kwa mondi kupata airtime.
Sio bure maneno ya ndugai kuhusu nyani kushangilia mkulima kufariki ndio yanaeleweka hapa...
 
Wanawake wa Daimond, wanafuasi wengi kuliko BAVICHA na BAWACHA nchini na njee ya nchi. Hasa kwenye mitandao yote. Siyo chadema tu. Na CCM kwa pamoja
 
Dah...
JPM alikua anampaisha sana lisu. Sasa hivi ndio kaingia huku kwa mondi kupata airtime.
Sio bure maneno ya ndugai kuhusu nyani kushangilia mkulima kufariki ndio yanaeleweka hapa...
Wamefirisika wamekosa topic.
 
Back
Top Bottom