Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 16,003
"mwamba tuvushe"Niliwasikia wapinzani wakisema hawahitaji RAISI MROPOKAJI.
Yule aliyetabiri mchomoko wa baada ya D. slaa alikuwa nani?
Utabiri usije ukatimia.
"mwamba tuvushe"
Mnaumizwa na demokrasia ndani ya chama kubwa chama pendwa LA watzNdugu zangu,
Ghafla baada ya mwamba kujitosa, lile tangazo la Tundu Lissu kuomba michango ''kumsaidia kugombea urais'' limepotea. Tundu Lissu au wafuasi wake sio wajinga kwani sasa wanaelewa nini kinafuata. Zengwe lile lile lililowapata Zitto na Dr.Slaa ndilo linamwandama Tundu Lissu ambaye kwa sasa amepata mshituko.
Tundu na wafuasi wake wanajua hawawezi kuchuana na ''mwamba'' au mtu atakayependekezwa na ''mwamba'' (kumbuka Nyalandu yumo kwenye kinyang'anyiro).
Nini kitatokea, tutege sikio. Ila ninamshauri Tundu aache jazba, avumilie ili akomae ndani ya Chadema kwani bado ni ''mchanga'' ndani ya Chama.
Kwa propaganda hizi hamuwawezi chama kubwa kama Chadema, mjipange sana Tiss, polisi, mageteza PSU, jkt, jwtz, NEC, Takohuru. Msajiri.Ndo mtaoangusha CDMSiku moja tu baada ya Lisu kutumia masaa 4 akiwahutubia watanzania na kuwapa sababu za kwa nini anatangaza nia ya kuwania urais wa Tanzania, huku nyuma Mbowe akaibuka na igizo la kuvamiwa na watu wasiojulikana, kisha kukanyagwa kanyagwa na kuvunjwa mguu wa kulia bila mtoto wake James aliyekuwa ndani kusikia chochote ,badala yake akasikia Joyce Mkuya aliyekuwa umbali wa kilomita
5!!
Lengo la hili igizo ilikuwa ni kufunika habari ya Lisu kuandikwa na vyombo vya habari.
Kana kwamba haitoshi Mbowe baada tu ya kuruhusiwa kutoka hospitali ,huku akichechemea akatangaza nia ya kugombea urais wa Tanzania!
Yani watanzania wakiwa na hamu ya kusikia report kutoka kwa Mbowe mwenyewe kwamba alivamiwaje, ilikuwaje ,badala ya kujibu hizo hoja ,yeye akaja na igizo jingine la kwamba kuna wazee wameenda nyumbani kwake kumshawishi awanie urais wa Tanzania!!.
Hivi Lisu unataka ufanyiwe nini ndiyo ujue kwa sasa hauhitajiki Chadema?
Haya maigizo ya mwenyekiti wako wa chama kufunika utangazaji wako nia hayajakuamsha tu?.
Shituka
Nje ya mada kamandaHizo sauti mlizotengeneza mtazitoa lini nyie wajinga?
Acha kutetemekaKwa propaganda hizi hamuwawezi chama kubwa kama Chadema, mjipange sana Tiss, polisi, mageteza PSU, jkt, jwtz, NEC, Takohuru. Msajiri.Ndo mtaoangusha CDM
Ndugai na bunge lake dhaifu kasanda game kaondoka kwa unyonge na aibu, kaliacha chama LA wana linazidi kuchanua
Hata CHAUMA ipo,haijafaKumbe Chadema Bado Ipo? Haijafa!
Wakudadavuwa hivi kweli CHADEMA wako radhi kumpitisha mgombea ambaye hawana hakika ya kurudi nchini kwa ajili ya kampeni? Nadhani huyo mnayemwita mwamba hajachukua fomu kwamba hamtaki TUNDU LISSU ila "IN CASE HE WON'T SHOW UP"Ndugu zangu,
Ghafla baada ya mwamba kujitosa, lile tangazo la Tundu Lissu kuomba michango ''kumsaidia kugombea urais'' limepotea. Tundu Lissu au wafuasi wake sio wajinga kwani sasa wanaelewa nini kinafuata. Zengwe lile lile lililowapata Zitto na Dr.Slaa ndilo linamwandama Tundu Lissu ambaye kwa sasa amepata mshituko.
Tundu na wafuasi wake wanajua hawawezi kuchuana na ''mwamba'' au mtu atakayependekezwa na ''mwamba'' (kumbuka Nyalandu yumo kwenye kinyang'anyiro).
Nini kitatokea, tutege sikio. Ila ninamshauri Tundu aache jazba, avumilie ili akomae ndani ya Chadema kwani bado ni ''mchanga'' ndani ya Chama.
Shangaa na wewe!!!Kumbe Chadema Bado Ipo? Haijafa!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]...CHADEMA wanateseka sana.Ndugu zangu,