Uchaguzi 2020 Tundu Lissu vumilia, ''bado hujakomaa'', endelea kukitumikia chama achana na madaraka

Kuongoza CHADEMA rahisi sana, chama cha maigizo.
 
Duh...!,
Kaka Mkubwa Wakudadavuwa...,
Duh...!.
Haya!.
P
 
Let us be fair, hivi magu anafanya nini ambalo Lisu hawezi kulifanya? Labda kuvunja sheria, katiba , kuua, kupoteza, kufunga etc! hayo yanaweza kuwashinda wengi, lkn kama siasa tu, kuwa rais, mbona Lisu yuko very fit! na hata Kingwendu anaweza!
 
Wakudadavuwa hivi kweli CHADEMA wako radhi kumpitisha mgombea ambaye hawana hakika ya kurudi nchini kwa ajili ya kampeni? Nadhani huyo mnayemwita mwamba hajachukua fomu kwamba hamtaki TUNDU LISSU ila "IN CASE HE WON'T SHOW UP"
Duh Nyalandu haaminiki?
 
Let us be fair, hivi magu anafanya nini ambalo Lisu hawezi kulifanya? Labda kuvunja sheria, katiba , kuua, kupoteza, kufunga etc! hayo yanaweza kuwashinda wengi, lkn kama siasa tu, kuwa rais, mbona Lisu yuko very fit! na hata Kingwendu anaweza!
Lissu aliyeshiriki kikao kuwafukuza wabunge CHADEMA bila kufuata katiba
 
Danga sana dada ila hamchomoki lengo ni kuwaonyesha democracy tu basi huku siyo mtu akioteshwa kugombea anatekwa. Lissu lazima asagesage jiwe tutengeneze kokoto za kujenga nchi upya. Mpaka mnye hatuangalii pacemaker. Lazima jiwe lisagwesagwe au liwahi chattle
 
MaCCM yanahangaika, Mnamuogopa LISSU kupita kiwango cha kawaida. MWAMBA Mbowe anawapatia sana. Kamati kuu CHADEMA ITAMPITISHA LISSU. Mwaka huu kazi MNAYO, mtapiga pushapu mpaka MJINYEE majukwaani.
✌🏽✌🏽✌🏽✌🏽✌🏽💪🏽💪🏽💪🏽💪🏽💪🏽

#LISSURAIS2020
 
Mnamwogopa sana Lissu nyie mataga, subirini.
 
Jikite kwenye hoja
 
"mwamba tuvushe",Chadema bila Mbowe inakufa
 
Upo sahihi ingawa wewe ni CCM. Maskini TL huwa hajitambui
 
"mwamba tuvushe",Chadema bila Mbowe inakufa
Nchi hii kupambana na mchagga ni shida tupu, ni wajanja ndo maana mpaka sasa TLP bado ipo. Kama hunielewi muulize Mtungilehi aliyetaka kumpoka uenyekiti Mzee wa Kiraracha alivyofanywa hadi sasa analima mihogo kwao Kyerwa. Hakuna wa kumtingisha Mwamba cc kali KENYATTA
 
Anafunga bunge anaanza stori alikuwa maskini,sisi inatuhusu nn mzee unataka huruma??..Tanzania hakuna tajiri story yake haijamstua mtu.
 
Kwa ninavyojua mihasira ya Lissu,dereva wake sasa atapatikana,ataongea kila kitu
Kama mbowe alivunjika mguu sababu ya konyagi,na kuutangazia ulimwengu kuwa kashambuliwa na wasiojulikana,hawa wasanii hawashindwi kumpiga risasi lissu nakutangaza kashambuliwa na wasiojulikana
 
Sawa kabisa
Huo mchezo kumbe uliusoma jinsi chadema wanavyo chezeana gitaa

Neno la mwisho la msigwa ndio ulikuwa ukweli wa mambo
Kuwa walikuwa pamoja na mbowe na huo ndio game lilikuwa linapangwa mara naada ya lisu jioni yake kuongea kuhusu kugombea
 
eti Lissu ni mchanga ndani ya chadema kuliko Nyalandu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…