Tundu Lissu: Waambie watu wangu sina dawa

Tundu Lissu: Waambie watu wangu sina dawa

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
“Waambie watu wangu sina dawa”

Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu leo ameomba msaada wa kupata dawa punde baada ya kuingia mahakamani.

Mwenendo wa kesi umefikia katika hatua ya upande wa serikali kumuuliza mshtakiwa maswali ya dodoso baada ya Lissu kuwasilisha ushahidi wa kujitetea.

 
Back
Top Bottom