Pre GE2025 Tundu Lissu: Walimu wasifanye kazi ya kusimamia Uchaguzi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Lisu anaongea kimamlaka sana!na anajua hasa nini kinaendelea!yaani deep down ana baraka ya watanganyika waliopo CCM wanaohisi Sasa Mali zao zinauzwa na kizimkaz!

Tangu CCM ya mama iliposhindwa uchaguzi wa chadema Lisu kushinda ni dhahiri yeye ndio star wa siasa zetu!
 
Ana hio Mandate ? Au unamaanisha anashauri ?
 
Reactions: Tui
Lisu ni muujiza unaotembea hata sisi CCM tunam admire kimya kimya!nani achukie ukweli wote asemao!!?anaebisha anabisha ukweli kuhusu maisha halisi ya mtz!
acha upotoshaji gentleman,

huyo ni kibaka anae omba kuchangiwa pocket money kila uchao na hiyo ndio agenda yake kuu ndani ya chadema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…