Pre GE2025 Tundu Lissu: Walimu wasifanye kazi ya kusimamia Uchaguzi

Pre GE2025 Tundu Lissu: Walimu wasifanye kazi ya kusimamia Uchaguzi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kamanda, kama upo karibu na Mwenyekiti wako wa CHADEMA Mh. Tundu Lissu, mwambie aje na mikakati ya kuhakikisha uchaguzi wa mwaka huu unakuwa huru, wa haki na pia usio na wizi wa kura!

Kutoa matamko tu, tena yasiyo nguvu ya kisheria! haisaidii chochote! Hao walimu na watendaji wa Vijini/Kata, Bosi wao ni DED ambaye amepewa mamlaka na Tume ya uchaguzi kusimamia huo uchaguzi! Sasa katika hali ya kawaida, kuna mwalimu au mtendaji mwenye ujasiri wa kumkatalia Bosi wake akimu assign kazi ya kusimamia huo uchaguzi, na pia kuhakikisha ccm inashinda?

Anachotakiwa kufanya Kamanda Lissu kwa sasa ni kuangalia ni kwa namna gani serikali ya ccm itakubali uchaguzi kuwa huru na wa haki!! Na siyo kupiga tu kelele na kutoa matamko ya kufikirika. Watu wanataka vitendo! Na siyo maneno mengi.
Imani huja kwa kusikia,watasikiaje wasipohutubiwa? Mt. Paulo.
 
Nina mashaka na uraia wako. Unaonekana kama si mtanganyika. Ila mhamiaji haramu unayejificha kwenye chama cha machawa.
kibaka ndie mwenye uraia wenye mashaka,
haijulikani ni raia wa ubeligiji au tz :pedroP:
 
Walimu hawatakubali Kwa sababu ya maslahi Yao madogo.Mwalimu akiahidiwa kupewa kanga Moja au shilingi elfuishirini Kwa siku Kwa shughuli ya uchaguzi lazima atakubali maana ndiyo posho zao wanapopatia
 
Lissu ni useless na hivi sio mtanzania anaongea upuuzi kila wakat
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Back
Top Bottom