Pre GE2025 Tundu Lissu: Walimu wasifanye kazi ya kusimamia Uchaguzi

Pre GE2025 Tundu Lissu: Walimu wasifanye kazi ya kusimamia Uchaguzi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Basi waanze kuzichangamkia leo hiii.

..nakuunga mkono kwa asilimia 100%.

..vijana wahitimu elimu ya juu wachangamkie fursa zilizopo, na wasinyimwe fursa za kusimamia uchaguzi mkuu.
 
Ajira hazipo dunia nzima🤣 wasipojiongeza watalala yooo

..kweli kabisa.

..lakini ni muhimu vijana wapewe nafasi kusimamia uchaguzi badala ya kuwatumia waalimu ambao tayari wana ajira.
 
Walimu wanatumika kuiba kura na hii nikwasababu mifumo iliyoko juu yao inawatisha.
kufwatiliwa.
kunyimwa stahiki.
kutokwenda making ya mitihani. kuhamishwa maeneo korofi.
Kutolewa kwenye Fursa.
Kunyimwa mazoezi ya kitaifa.
Kutishiwa maisha.
Kubambikiwa kesi (wanafunzi)
Kuuwawa.
 
Kwani kuna mahali imeandikwa kwenye katiba au Sheria kwamba lazima walimu wasimamie uchagu?

Ila mitanganyika mingi mipumbavu Sana ndio maana mnatawaliwa na raia wa Oman Tena mwanamke!!
No dual citizenship in oman citizenship law so she is Tanzanian
 
Back
Top Bottom