Pre GE2025 Tundu Lissu: Walimu wasifanye kazi ya kusimamia Uchaguzi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwani kuna mahali imeandikwa kwenye katiba au Sheria kwamba lazima walimu wasimamie uchagu?

Ila mitanganyika mingi mipumbavu Sana ndio maana mnatawaliwa na raia wa Oman Tena mwanamke!!
Wewe mwenzangu ni Mkenya?
Wewe ni mpumbavu kama sisi watanzania wenzako.
 
Mbona kichwa cha habari kimebadilika?Mwanzo si mliandika "amepiga marufuku waalimu kusimamia uchaguzi"?
Akili zimewarudia au ulikuwa ujinga wa utu uzima?
 
Hao ni moderator wa jf, Amri iko palepale
 
Moderator wanajua ukweli na uhalisia. Wewe unaendeshwa tu na ujinga na wishful thinking.Lissu hana ubavu wa kuamrisha chochote Nchi hii.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Ninamshukuru sana Lissu kwa kauli zake za kihuni zinazoongeza kura za CCM kwenye uchaguzi. Naanza kuona Yericko Nyerere alikuwa sahihi kusema Lissu hafai hata kuongoza tawi la CHADEMA ngazi ya kitongoji.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Watasimamia na Mhuni Lissu hana uwezo wa kuwazuia. Kwenye Uchaguzi Mkuu wa 2020 hata mke wa Heche ambaye ni Mwalimu nae alisimamia! Ahahahahaha!!
Walimu sasa!, ndio marupurupu yao, nakumbuka kwenye sensa tulipigana vikumbo na walimu wakajiona wao ndio wenye uzoefu wa hizo kazi na wanastahili kupata, hapo ndo niliamini kila ntu Boss eneo lake, mmepanga msatari lakn mnashangaza afisa elimu amepeleka majina mlango wa pembeni
 
Maafisa Elimu sidhani kama walihusika na mambo ya sensa mwaka 2022.
 
Ninamshukuru sana Lissu kwa kauli zake za kihuni zinazoongeza kura za CCM kwenye uchaguzi. Naanza kuona Yericko Nyerere alikuwa sahihi kusema Lissu hafai hata kuongoza tawi la CHADEMA ngazi ya kitongoji.
Kutafuta haki za uchaguzi ni uhuni?
 
Ninamshukuru sana Lissu kwa kauli zake za kihuni zinazoongeza kura za CCM kwenye uchaguzi. Naanza kuona Yericko Nyerere alikuwa sahihi kusema Lissu hafai hata kuongoza tawi la CHADEMA ngazi ya kitongoji.
 
Kuna Maafisa Elimu Kata na Maafisa Elimu wa Halmashauri ( Msingi na Sekondari). Wewe unamaanisha wepi?
hapo unanipa kazi nyingine mkuu, we jua maafisa elimu walihusika, sasa sijui wa kata au wa halmshauri ila ninachojua walihusika katika kusimamia zoezi la sensa
 
Back
Top Bottom