Pre GE2025 Tundu Lissu: Walimu wasifanye kazi ya kusimamia Uchaguzi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Amri hiyo kabambe iliyojaa Ukakamavu imetolewa leo na Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu mjini Manyoni

Taarifa kamili hii hapa

View attachment 3237038View attachment 3237040

UJUMBE-NO REFORM NO ELECTION
Kamanda, kama upo karibu na Mwenyekiti wako wa CHADEMA Mh. Tundu Lissu, mwambie aje na mikakati ya kuhakikisha uchaguzi wa mwaka huu unakuwa huru, wa haki na pia usio na wizi wa kura!

Kutoa matamko tu, tena yasiyo nguvu ya kisheria! haisaidii chochote! Hao walimu na watendaji wa Vijini/Kata, Bosi wao ni DED ambaye amepewa mamlaka na Tume ya uchaguzi kusimamia huo uchaguzi! Sasa katika hali ya kawaida, kuna mwalimu au mtendaji mwenye ujasiri wa kumkatalia Bosi wake akimu assign kazi ya kusimamia huo uchaguzi, na pia kuhakikisha ccm inashinda?

Anachotakiwa kufanya Kamanda Lissu kwa sasa ni kuangalia ni kwa namna gani serikali ya ccm itakubali uchaguzi kuwa huru na wa haki!! Na siyo kupiga tu kelele na kutoa matamko ya kufikirika. Watu wanataka vitendo! Na siyo maneno mengi.
 
Hayo uliyoeleza ndio maagizo ya Kamati Kuu
 
Amri hiyo kabambe iliyojaa Ukakamavu imetolewa leo na Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu mjini Manyoni

Taarifa kamili hii hapa

View attachment 3237038View attachment 3237040

UJUMBE-NO REFORM NO ELECTION
Box la kura lazima liheshimiwe.
Hawa waliozoea kuhujumu chaguzi kwa maslahi ya matumbo yao wadhibitiwe kwa ujasiri na ukakamavu mkubwa.
Ifike mahala wananchi wenyewe tuungane kupambana na uharamia huu
 
tapeliwa kwanza kwa kumchangia pesa kubaka gentleman,

huna haja kubabaika wala kusingizia mengine :pedroP:
Vibaka na tapeli wengine wanazurura huko duniani kuombaomba kimatonya,wanauza sura kweli kweli na shungi vichwani Trump kasema no msaada hata ukijua mapenzi ya kipwanipwani. Basi mlichobakiza kuuza mlima Kilimanjaro.
 
Kamanda, kama upo karibu na Mwenyekiti wako wa CHADEMA Mh. Tundu Lissu, mwambie aje na mikakati ya kuhakikisha uchaguzi wa mwaka huu unakuwa huru, wa haki na pia usio na wizi wa kura!

Kutoa matamko tu, tena yasiyo nguvu ya kisheria! haisaidii chochote! Hao walimu na watendaji wa Vijini/Kata, Bosi wao ni DED ambaye amepewa mamlaka na Tume ya uchaguzi kusimamia huo uchaguzi! Sasa katika hali ya kawaida, kuna mwalimu au mtendaji mwenye ujasiri wa kumkatalia Bosi wake akimu assign kazi ya kusimamia huo uchaguzi, na pia kuhakikisha ccm inashinda?

Anachotakiwa kufanya Kamanda Lissu kwa sasa ni kuangalia ni kwa namna gani serikali ya ccm itakubali uchaguzi kuwa huru na wa haki!! Na siyo kupiga tu kelele na kutoa matamko ya kufikirika. Watu wanataka vitendo! Na siyo maneno mengi.
Tangu awe Mwenyekiti anaongea pumba kama SI mtaalamu wa Sheria.
 
Back
Top Bottom