Waufukweni JF-Expert Member Joined May 16, 2024 Posts 2,060 Reaction score 5,648 Nov 26, 2024 #1 Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara Tundu Lissu, akielezea hali waliyokutana nayo wakati wa kuapisha mawakala wa chama hicho wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa Tarafa ya Ikungi, wilayani Ikungi mkoa wa Singida, leo Novemba 26, 2024. Your browser is not able to display this video.
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara Tundu Lissu, akielezea hali waliyokutana nayo wakati wa kuapisha mawakala wa chama hicho wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa Tarafa ya Ikungi, wilayani Ikungi mkoa wa Singida, leo Novemba 26, 2024. Your browser is not able to display this video.
Madihani JF-Expert Member Joined Apr 30, 2015 Posts 6,154 Reaction score 7,083 Nov 26, 2024 #2 Poleni sana
K kibobori mahoro JF-Expert Member Joined Dec 12, 2022 Posts 7,452 Reaction score 10,785 Nov 26, 2024 #3 Hata kama wameshiriki, watashindaje wakati kuna mgawanyiko kwenye chama?
Nandagala One JF-Expert Member Joined Aug 19, 2020 Posts 1,913 Reaction score 2,286 Nov 26, 2024 #4 kibobori mahoro said: Hata kama wameshiriki, watashindaje wakati kuna mgawanyiko kwenye chama? Click to expand... Mgawanyiko upo baina ya wewe na MUME WAKO, CHADEMA hamna mgawanyiko!!π€£ππ€
kibobori mahoro said: Hata kama wameshiriki, watashindaje wakati kuna mgawanyiko kwenye chama? Click to expand... Mgawanyiko upo baina ya wewe na MUME WAKO, CHADEMA hamna mgawanyiko!!π€£ππ€
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 128,308 Reaction score 245,426 Nov 26, 2024 #5 Nandagala One said: Mgawanyiko upo baina ya wewe na MUME WAKO, CHADEMA hamna mgawanyiko!!π€£ππ€ Click to expand... Umempa za uso!
Nandagala One said: Mgawanyiko upo baina ya wewe na MUME WAKO, CHADEMA hamna mgawanyiko!!π€£ππ€ Click to expand... Umempa za uso!
Nandagala One JF-Expert Member Joined Aug 19, 2020 Posts 1,913 Reaction score 2,286 Nov 27, 2024 #6 Erythrocyte said: Umempa za uso! Click to expand... Ndiyo dawa yao mi NAWAPASUA TU wakiandika utumbo
Y Yetu itilima Member Joined Nov 22, 2024 Posts 9 Reaction score 4 Nov 27, 2024 #7 kibobori mahoro said: Hata kama wameshiriki, watashindaje wakati kuna mgawanyiko kwenye chama? Click to expand... kwani CCM hawana mgawanyiko?
kibobori mahoro said: Hata kama wameshiriki, watashindaje wakati kuna mgawanyiko kwenye chama? Click to expand... kwani CCM hawana mgawanyiko?