Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 15,133
- 11,914
Ahahahahaha! Siku hizi kuna "Human Relations kind of leadership" sijui kama unailewa Mwalimu wangu wa uongozi! Ahahahahaha!!Kwa hakika wewe ni Mtoto wa Shule, nachelea kusema huna uelewa wowote kuhusu uongozi hivyo naomba nikupe somo kidogo kuhusu uongozi.
Wanaoongozwa ndio wanatakiwa wamwamini kiongozi wao kwani ni wao, baada ya kuridhika na sifa zake na uwezo wake, walimkabidhi uongozi.