Pre GE2025 Tundu Lissu: Wamepanga kuingiza kura feki uchaguzi wa ndani (CHADEMA)

Pre GE2025 Tundu Lissu: Wamepanga kuingiza kura feki uchaguzi wa ndani (CHADEMA)

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Huyu ndio Tundu Lissu hawaamini hata watu anaotaka kuwaongoza! Ahahahahaha!!!
Asiyeaminika ni Mbowe.
1. Kwann amtume Wenje na Abdul ili kwenda kumnunua Lisu?
2. Kwann anapokea fedha za hongo toka ccm?
3. Kwann hataki kung'atuka?
4. Kwann aliwatuma akina Halima Mdee bungeni lkn akaudanganya umma kuwa wamejipeleka wenyewe.
 
Huyu jamaa shida sana sasa huyo aliemwambia hizo habari ye kazijuaje ? Halafu ye kila anachoambiwa basi anaamini !
Huyu kama Iddi Amin alipokuwa akiota tu fulani basi kesho yake ni masaibu !
Mshamba mkubwa kabisa huyu wenzake wanaficha bullet pfoof wanavaa kwa ndani ya koti au nguo ye anaonyesha hadharani ni ushamba tu na ulimbukeni
 
Lissu aache kutafuta huruma za kijinga
Lissu yuko sawa mbowe hana tena mvuto kwa wanachama wanaopiga kura, anawaza kuiba kura ili abaki kuwa mwenyekiti kwa nguvu zote, amesahau yeye kurudi tena mwenyekiti chadema ndio byby
 
Huyu jamaa shida sana sasa huyo aliemwambia hizo habari ye kazijuaje ? Halafu ye kila anachoambiwa basi anaamini !
Huyu kama Iddi Amin alipokuwa akiota tu fulani basi kesho yake ni masaibu !
Mshamba mkubwa kabisa huyu wenzake wanaficha bullet pfoof wanavaa kwa ndani ya koti au nguo ye anaonyesha hadharani ni ushamba tu na ulimbukeni
Kwenye hao mawakala na chawa wanaojidai kuwa upande wa mbowe wengine sio wake ni watu wema kwa lissu
 
Ndugu Tundu Lissu ANATAPATAPA ...

Aache visingizio.....ha ha ha ha
Mbowe ndo ana tapata kumbe mbowe alipotoka jela kwenda Ikulu haikuwa rai ya chadema ni kwa matakwa yake na mama abdul sasa Lissu ameeka wazi kwenye mahojiano yaani ni hatari kumbe chadema kuna mamluki sana
 
Dalili za mvua ni mawingu.

Lissu ni mtu ambae anajiandaa kushindwa.

Anaanda tu mazingira ya kupinga matokeo.

What a bad looser.
Lissu alisema mapema kitakachojiri atakizungumza hadharani, mbowe hana namna kushinda uchaguzi Lissu anazidi kubomoa huko siri za mbowe na ccm kumbe chadema hamna kitu yale maridhiano ni ya mbowe mwenyew tu
 
Tundu Lissu Makamu akizungumza kupitia clubhouse leo Desemba 23 amesema kuwa

"Nimepewa taarifa na mtu wa heshima sana kuhusu maandalizi ya vurugu kwenye uchaguzi.

Kuna watu wanaandaliwa waje waingie ukumbini kama wanachama, kumbe wapo kwa kazi maalum ya kutorosha masanduku ya kura, watakapogundua kwamba mambo ya upande wao hayako sawa na mhusika amenidokeza kwamba, vyovyote itakavyokuwa, tuhakikishe uchaguzi unafanyika wakati wa mchana na ameonya uchaguzi usifanyike usiku kwa sababu kuna possibility ya wenzetu kuzima taa zote ili kufanikisha utoroshaji wa kura ama kuingiza ndani kura feki.

Tafadhari hizi tumezipokea; lakini Katibu Mkuu wa Chama anapaswa kutoa ufafanuzi kuhusu huu mchakato wa uchaguzi utakavyokuwa ili kuhakikisha unakuwa huru na wa haki".
Moto huwake
 
Ninyi wapumbavu mmezidi kujaza servers humu na mada zenu za kipuuzi kuhusu Lisu ,unaweza kuleta ushahidi ni wapi Lissu kasema hivyo wewe taahira ?

Acheni useng£ ,mnafanya jamii forum kuwa kama facebook ,
Pumbavu sana ninyi
Tundu Lissu Makamu akizungumza kupitia clubhouse leo Desemba 23 amesema kuwa

"Nimepewa taarifa na mtu wa heshima sana kuhusu maandalizi ya vurugu kwenye uchaguzi.

Kuna watu wanaandaliwa waje waingie ukumbini kama wanachama, kumbe wapo kwa kazi maalum ya kutorosha masanduku ya kura, watakapogundua kwamba mambo ya upande wao hayako sawa na mhusika amenidokeza kwamba, vyovyote itakavyokuwa, tuhakikishe uchaguzi unafanyika wakati wa mchana na ameonya uchaguzi usifanyike usiku kwa sababu kuna possibility ya wenzetu kuzima taa zote ili kufanikisha utoroshaji wa kura ama kuingiza ndani kura feki.

Tafadhari hizi tumezipokea; lakini Katibu Mkuu wa Chama anapaswa kutoa ufafanuzi kuhusu huu mchakato wa uchaguzi utakavyokuwa ili kuhakikisha unakuwa huru na wa haki".
 
Asiyeaminika ni Mbowe.
1. Kwann amtime wenje na Abdul ili kwenda kumnunua Lisu?
2. Kwann anapokea fedha za hongo toka ccm?
3. Kwann hataki kung'atuka?
4. Kwann aliwatuma akina Halima Mdee bungeni lkn akaudanganya umma kuwa wamejipeleka wenyewe.
Ayatollah Mbowe ameanza kutoaminika Chadema lini?
 
Hao TISS watamzuia mjumbe kupiga kura? Watamzuia Lissu kuweka wakala wakati wa kuhesabu kura? Watazuia kura kupigwa na kuhesabiwa hadharani?
wajumbe wengi wa kamati kuu ya Chadema ni undercover wa Tiss, wamepandikizwa Chadema ili kulinda maslahi ya tiss. Je, unajua kwamba hata yule aliyekuwa Msemaji wa Chadema ni mtumishi hai wa Tiss hadi leo hii? Unalijua hili?
 
Mi naona kama ni conspiracy. CDM ndo tabia yao Sema tu hawakuwahi kuwa na mtu mwenye audacity ya kuwa exposed hadharani.
siyo conspiracy, ni ukweli. wajumbe wengi wapigakura ni mapandikizi, ni undercover wa tiss, wanamuunga mkono mbowe. TAL hawezi kushinda.
 
wajumbe wengi wa kamati kuu ya Chadema ni undercover wa Tiss, wamepandikizwa Chadema ili kulinda maslahi ya tiss. Je, unajua kwamba hata yule aliyekuwa Msemaji wa Chadema ni mtumishi hai wa Tiss hadi leo hii? Unalijua hili?
Issue iliyoko mbele ni upigaji kura kumchagua m/kiiti. na kila mjumbe halali atapiga kura. Hata kama baadhi ya wajumbe wa kamati kuu ni TISS bado ni wajumbe halali wenye haki ya kupiga kura shida iko wapi.

Kwani wakati Lissu anafanya uamuzi wa kugombea hakujua kuwa anaenda kukabiliana na wapiga kura?

Kama CHADEMA imechafuka kwa kujazwa TISS ajiondoe akaanzishe chama chake ambacho kitakuwa safi bila TISS ndani yake.

Jinsi mnavyolialia ni kama watu ambao upstairs kuna shida sio kwa Lissu tu hata hao wanaojiita wanaharakati na wafuasi wake. . Mbona wafuasi wa Mbowe wanazungumza kwa kujenga hoja nyinyi hamuoni aibu hata aibu!
 
Huyu ndio Tundu Lissu hawaamini hata watu anaotaka kuwaongoza! Ahahahahaha!!!
Kwa hakika wewe ni Mtoto wa Shule, nachelea kusema huna uelewa wowote kuhusu uongozi hivyo naomba nikupe somo kidogo kuhusu uongozi.

Wanaoongozwa ndio wanatakiwa wamwamini kiongozi wao kwani ni wao, baada ya kuridhika na sifa zake na uwezo wake, walimkabidhi uongozi.
 
Back
Top Bottom