Pre GE2025 Tundu Lissu: Wamepanga kuingiza kura feki uchaguzi wa ndani (CHADEMA)

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ni wizi wa kura ni uchakachuaji pekee utamweka Mbowe madarakani
 
Uchaguzi ukiwa huru na wa haki,mtu anakwenda kumchinja sultani mchana kweupe huku anajiangalia!, October 2025 ni unasukuma tuu kama kumsukuma mlevi!tatizo ni the ability and capability kuendesha serikali,Chadema hii uwezo huo haina!
P
Fikra za kizamani na za kijinga.
 
Elewa mada ndugu,sio kwamba awaamini anaotaka kuwaongoza!!!,kapewa taarifa, mhimu uchunguzi ufanywe kujua ukweli wa hizo taarifa,lisemwalo lipo,kama halipo laja.
Kwanini Lissu ameanza kutuhumu kila mtu chamani baada ya kugombea uwenyekiti? Haya anayosema yameanza leo? Kama yalianza zamani, ALIKWINA?
 
Tundu Lissu Makamu akizungumza kupitia clubhouse leo Desemba 23 amesema kuwa

"Nimepewa taarifa na mtu wa heshima sana kuhusu maandalizi ya vurugu kwenye uchaguzi.

Kuna watu wanaandaliwa waje waingie ukumbini kama wanachama, kumbe wapo kwa kazi maalum ya kutorosha masanduku ya kura, watakapogundua kwamba mambo ya upande wao hayako sawa na mhusika amenidokeza kwamba, vyovyote itakavyokuwa, tuhakikishe uchaguzi unafanyika wakati wa mchana na ameonya uchaguzi usifanyike usiku kwa sababu kuna possibility ya wenzetu kuzima taa zote ili kufanikisha utoroshaji wa kura ama kuingiza ndani kura feki.

Tafadhari hizi tumezipokea; lakini Katibu Mkuu wa Chama anapaswa kutoa ufafanuzi kuhusu huu mchakato wa uchaguzi utakavyokuwa ili kuhakikisha unakuwa huru na wa haki".
Lissu yupo sahihi wezi wapo kila sehemu, ni muhimu kutoa tahadhari mapema
 
Lissu kila kitu kadokezwa na watu wakubwa itoshe kusema lissu ni muongo wa karne!
Sasa wewe unadhani Lisu ni kama wewe! Lisu ni kiongozi asiye rasmi lakini anayeheshimika sana. Ndiyo maana Rais alifunga safari kwenda kumwona Ubelgiji. Ndiyo maana hata kifo cha hayati Magufuli, alipewa taarifa yeye kwanza hata kabla ya makamu wa Rais, wakati wewe hata DC tu hawezi kukufuata nyumbani kwako kwa jambo lolote!!
 
Mbowe anamchukia sana Lisu, anajitahidi kufanya kila njama ili kumvunja nguvu Lisu.
Lisu kuwa makini sana na mzee Mbowe.
 
Tundu Lissu Makamu akizungumza kupitia clubhouse leo Desemba 23 amesema kuwa

"Nimepewa taarifa na mtu wa heshima sana kuhusu maandalizi ya vurugu kwenye uchaguzi.

Kuna watu wanaandaliwa waje waingie ukumbini kama wanachama, kumbe wapo kwa kazi maalum ya kutorosha masanduku ya kura, watakapogundua kwamba mambo ya upande wao hayako sawa na mhusika amenidokeza kwamba, vyovyote itakavyokuwa, tuhakikishe uchaguzi unafanyika wakati wa mchana na ameonya uchaguzi usifanyike usiku kwa sababu kuna possibility ya wenzetu kuzima taa zote ili kufanikisha utoroshaji wa kura ama kuingiza ndani kura feki.

Tafadhari hizi tumezipokea; lakini Katibu Mkuu wa Chama anapaswa kutoa ufafanuzi kuhusu huu mchakato wa uchaguzi utakavyokuwa ili kuhakikisha unakuwa huru na wa haki".
CHADEMA hawawezi kufanya hivyo, stay cool
 
Tayari keshashindwa uyo, Hongera Mbowe Mwenyekiti!!
 
Lisu awezi kumshinda Mbowe.atamshinda vipi mtu anaepewa suport na tiss!
Kama uchaguzi ukiwa huru na haki tu ndiyo Lissu anaweza kumpiga chini Mbowe,lakini kwa dalili zilizopo sasa kuwa hata serikali na CCM ziko upande wa Mbowe itakuwa vigumu Lissu kutoboa. Mbowe atashinda kimagumashi kwani ni rahisi kuwahinga wajumbe 1200 lakini ndiyo itakuwa mwisho wa Chadema umma wa wanachadema na wafuasi wa Chadema hauna imani tena na Mbowe,hivyo ajue kupata madiwani,wabunge na kura za urais itakuwa kipengele kwa Chadema ya Mbowe,labda anategemea hivyo nusu mkate aliyoahidiwa na Samia.
 
Uchaguzi ukiwa huru na wa haki,mtu anakwenda kumchinja sultani mchana kweupe huku anajiangalia!, October 2025 ni unasukuma tuu kama kumsukuma mlevi!tatizo ni the ability and capability kuendesha serikali,Chadema hii uwezo huo haina!
P
Mkuu uko kinyume na wanaccm wenzako wanaompigia debe Sultan.
 
Issue ya Lissu na Mbowe akili yangu inagoma kabisa kuamini kama ni ya kweli ninachokiona hapa ni mpango maalum ulioandaliwa kwa ajili ya kiki tu .
 
Back
Top Bottom