Pre GE2025 Tundu Lissu: Wamepanga kuingiza kura feki uchaguzi wa ndani (CHADEMA)

Pre GE2025 Tundu Lissu: Wamepanga kuingiza kura feki uchaguzi wa ndani (CHADEMA)

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ila hatokuwa na nafasi ya kucheza na ruzuku hapo hasa ndo panampa pressure
Pressure unajipa wewe.

Mbowe yupo tayari kwa matokeo yoyote.

Sana sababu ya kugombea amejifunza late, hakuandaa mrithi.

Huu muhula wa mwisho atautumia kuhakikisha chama kinawagombea wenye sifa sahihi wa kumrithi.

Lakini sio ropo-ropo kama Lissu.

Lissu angekuwa mtu sahihi, Mbowe asingegombea tena.
 
Ruzuku ipi? Kwa chama cha ukubwa wa Chadema ruzuku haitoshi kabisa. Mojawapo ya headaches za Mwenyekiti ni upatikanaji wa pesa za kuendesha chama.

Amandla...

Mwaka 2015 chadema walikuwa wanapata ruzuku mil 300+

Na walikuwa na wabunge 100+

Na Kama tulivyomsikia TAL anasema watu wanaolipwa mshahara hapo chadema hawazidi 20 wengine wote wanajitolea.

Na kuanzia 2015 -2020 chadema walikuwa hawafanyi mikutano

Je pesa zinaenda wapi?
 
Pressure unajipa wewe.

Mbowe yupo tayari kwa matokeo yoyote.
sii kweli!,asinge haha hivi!
Sana sababu ya kugombea amejifunza late, hakuandaa mrithi.
Chadema haina kabisa a succesion plan CCM Imechokwa, CHADEMA Haijajipanga! na CHADEMA Hamkujipanga, hamjajipanga, hamjipangi na hamtajipanga!-2015 ni CCM tena!
Huu muhula wa mwisho atautumia kuhakikisha chama kinawagombea wenye sifa sahihi wa kumrithi.
miaka 20 yote bado?
Lakini sio ropo-ropo kama Lissu.
Kweli udhaifu mkubwa wa Tundu Lissu ni roporopo,hivyo ni a very bad liability Msikie Tundu Lissu Hapa, Anauliza Kama Wenzake Wana Akili Kweli! Maridhiano Ayaita Ujinga. Je, Lissu Bado ni Asset or Sasa ni A Liability?
Lissu angekuwa mtu sahihi, Mbowe asingegombea tena.
japo Lissu ni liability,at the same time ndie the one and only asset Chadma has,yenye the ability and capability ya kuiingiza Chadema ikulu 2025 Japo Lowassa Alikuwa a Liability CCM, Akawa Asset Chadema. Lissu is a Very Bad Liability, but is The Only Asset Chadema Has Kuwangiza Ikulu!. Je... ?
P
 
sii kweli!,asinge haha hivi!

Chadema haina kabisa a succesion plan CCM Imechokwa, CHADEMA Haijajipanga! na CHADEMA Hamkujipanga, hamjajipanga, hamjipangi na hamtajipanga!-2015 ni CCM tena!

miaka 20 yote bado?

Kweli udhaifu mkubwa wa Tundu Lissu ni roporopo,hivyo ni a very bad liability Msikie Tundu Lissu Hapa, Anauliza Kama Wenzake Wana Akili Kweli! Maridhiano Ayaita Ujinga. Je, Lissu Bado ni Asset or Sasa ni A Liability?

japo Lissu ni liability,at the same time ndie the one and only asset Chadma has,yenye the ability and capability ya kuiingiza Chadema ikulu 2025 Japo Lowassa Alikuwa a Liability CCM, Akawa Asset Chadema. Lissu is a Very Bad Liability, but is The Only Asset Chadema Has Kuwangiza Ikulu!. Je... ?
P
Mbowe ndio mtu sahihi kwa CDM
 
Tundu Lissu Makamu akizungumza kupitia clubhouse leo Desemba 23 amesema kuwa

"Nimepewa taarifa na mtu wa heshima sana kuhusu maandalizi ya vurugu kwenye uchaguzi.

Kuna watu wanaandaliwa waje waingie ukumbini kama wanachama, kumbe wapo kwa kazi maalum ya kutorosha masanduku ya kura, watakapogundua kwamba mambo ya upande wao hayako sawa na mhusika amenidokeza kwamba, vyovyote itakavyokuwa, tuhakikishe uchaguzi unafanyika wakati wa mchana na ameonya uchaguzi usifanyike usiku kwa sababu kuna possibility ya wenzetu kuzima taa zote ili kufanikisha utoroshaji wa kura ama kuingiza ndani kura feki.

Tafadhari hizi tumezipokea; lakini Katibu Mkuu wa Chama anapaswa kutoa ufafanuzi kuhusu huu mchakato wa uchaguzi utakavyokuwa ili kuhakikisha unakuwa huru na wa haki".
Bado hamjasema

2015 was the tell it all year
 
Itakuwa mama Samia atatuma watu wake kwenda kuchakachua kura ili ashinde uchaguzi ambaye anamtaka ili iweze kumwendesha atakavyo
 
Na wewe uache kuzuia watu kuongea mapungufu yaliyo mbele kwa kisingizio kuwa ni ujinga
 
Tatizo umetumia codes sana, ndugu comrade. Lakini tumejitahidi kukuelewa. Ila nasikia wenyewe hawataki kushika dola. Eti wana malengo tofauti kabisa.
Malengo ni wenje kuwa Dalali mpaka wanazeeka na kufa
 
Tulishawaambia aliyetaka kumuua alikuwa ni mbowe na lengo lilikuwa kuondoa ushindani. Sasa unaona mnaanza eti kumnanga lisu wenu. 😂
Kikulacho ki ngoni mwako sasa mbowe na wenje ndiyo maadui wakubwa wa mbowe na mbowe anatamani lolote litokee ili mradi abakie kuwa mwenyekiti haramu wa milele alinde madudu yake ya ufisadi wa pesa za mbowe
 
Back
Top Bottom