Pre GE2025 Tundu Lissu: Wamepanga kuingiza kura feki uchaguzi wa ndani (CHADEMA)

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
We unawaamini? Kuna mbongo wa kuaminika leo hii? Keupe kekundu kaa chonjo saa mbaya atišŸ˜…
Sasa kama hakuna Mbongo wa kuaminika kwanini akuamini wewe ukisema Lissu anaubalika kuwa Mwenyekiti wa Chadema? Ahahahahaha!!
 
Tulishawaambia aliyetaka kumuua alikuwa ni mbowe na lengo lilikuwa kuondoa ushindani. Sasa unaona mnaanza eti kumnanga lisu wenu. šŸ˜‚
Polisi hawajashindwa kazi. Vuta subira. Usiwapuuze.
 
Tundu Lissu Makamu akizungumza kupitia clubhouse leo Desemba 23 amesema kuwa

"Nimepewa taarifa na mtu wa heshima sana kuhusu maandalizi ya vurugu kwenye uchaguzi.

Kuna watu wanaandaliwa waje waingie ukumbini kama wanachama, kumbe wapo kwa kazi maalum ya kutorosha masanduku ya kura, watakapogundua kwamba mambo ya upande wao hayako sawa na mhusika amenidokeza kwamba, vyovyote itakavyokuwa, tuhakikishe uchaguzi unafanyika wakati wa mchana na ameonya uchaguzi usifanyike usiku kwa sababu kuna possibility ya wenzetu kuzima taa zote ili kufanikisha utoroshaji wa kura ama kuingiza ndani kura feki.

Tafadhari hizi tumezipokea; lakini Katibu Mkuu wa Chama anapaswa kutoa ufafanuzi kuhusu huu mchakato wa uchaguzi utakavyokuwa ili kuhakikisha unakuwa huru na wa haki".

Umeongezea chumvi leo nimesikiza club house hajasema hivyo. Machawa semeni ukweli uongo uongo achani huko kwenu
 
Uchaguzi ukiwa huru na wa haki,mtu anakwenda kumchinja sultani mchana kweupe huku anajiangalia!, October 2025 ni unasukuma tuu kama kumsukuma mlevi!tatizo ni the ability and capability kuendesha serikali,Chadema hii uwezo huo haina!
P
Mkuu kwani wanaongoza serikali ya sasa ni malaika, mbona unadharau watu wengi namna hii.
 
Uchaguzi ukiwa huru na wa haki,mtu anakwenda kumchinja sultani mchana kweupe huku anajiangalia!, October 2025 ni unasukuma tuu kama kumsukuma mlevi!tatizo ni the ability and capability kuendesha serikali,Chadema hii uwezo huo haina!
P
P,
ukienda kuuliza vyama vyote vya upinzani kuanzia Kenya, Malawi, Zambia , Botswana walisema kama wewe kwamba hawana uwezo. Lakini si kweli hakuna miujiza yeyote Tanzania hasa kwa serikali yenye mfumo mbaya hivi.

Rushwa tu imewashinda kuzuia sasa huwezi kusema seriously kwamba serikali ya sasa inafanya vizuri. Ni serikali ya kipolisi tukiweka mifumo hii nchi kuendesha ni rahisi sana. Mambo magumu ni ukabila, ukanda, na mambo ya hivyo ndiyo tatizo kubwa hata Kenya lakini sio uendeshaji Tanzania kama kuna katiba nzuri.
 
Ndiyo michezo ya CHADEMA hii
20241224_013303.jpg
 
JPM alisingiziwa mabaya mengi sana, kumbe hata wizi wa kura upo chadema hao hao ambao kila uchaguzi wanalalamika kuibiwa kura šŸ˜‚
 
Mwamba anabanwa kila kona, bila shaka zitatumika mbinu za Lipumba dhidi ya Maalim..
Watoto wa Mama.jpg
 
Uchaguzi ukiwa huru na wa haki,mtu anakwenda kumchinja sultani mchana kweupe huku anajiangalia!, October 2025 ni unasukuma tuu kama kumsukuma mlevi!tatizo ni the ability and capability kuendesha serikali,Chadema hii uwezo huo haina!
P
Taratibu tu, hata walio kuwa gizani wataanza kuiona nuru.
 
Tundu Lissu Makamu akizungumza kupitia clubhouse leo Desemba 23 amesema kuwa

"Nimepewa taarifa na mtu wa heshima sana kuhusu maandalizi ya vurugu kwenye uchaguzi.

Kuna watu wanaandaliwa waje waingie ukumbini kama wanachama, kumbe wapo kwa kazi maalum ya kutorosha masanduku ya kura, watakapogundua kwamba mambo ya upande wao hayako sawa na mhusika amenidokeza kwamba, vyovyote itakavyokuwa, tuhakikishe uchaguzi unafanyika wakati wa mchana na ameonya uchaguzi usifanyike usiku kwa sababu kuna possibility ya wenzetu kuzima taa zote ili kufanikisha utoroshaji wa kura ama kuingiza ndani kura feki.

Tafadhari hizi tumezipokea; lakini Katibu Mkuu wa Chama anapaswa kutoa ufafanuzi kuhusu huu mchakato wa uchaguzi utakavyokuwa ili kuhakikisha unakuwa huru na wa haki".
Hapo ndipo tutakapojua kumbe CDM na CCM ni kulwa na doto 🤣 🤣 🤣 Ngoja tusubiri.
 
Hivi mbowe akishindwa atakuwa na kazi gani tena ya kufanya chadema badala ya kwenda kulea wajukuu!
Sikiliza press yake, kwa nafasi yake ni mjumbe wa maisha wa baraza kuu la CDM hata akishindwa nafasi ya uenyekiti kwa katiba ya CDM.
 
Tundu Lissu Makamu akizungumza kupitia clubhouse leo Desemba 23 amesema kuwa

"Nimepewa taarifa na mtu wa heshima sana kuhusu maandalizi ya vurugu kwenye uchaguzi.

Kuna watu wanaandaliwa waje waingie ukumbini kama wanachama, kumbe wapo kwa kazi maalum ya kutorosha masanduku ya kura, watakapogundua kwamba mambo ya upande wao hayako sawa na mhusika amenidokeza kwamba, vyovyote itakavyokuwa, tuhakikishe uchaguzi unafanyika wakati wa mchana na ameonya uchaguzi usifanyike usiku kwa sababu kuna possibility ya wenzetu kuzima taa zote ili kufanikisha utoroshaji wa kura ama kuingiza ndani kura feki.

Tafadhari hizi tumezipokea; lakini Katibu Mkuu wa Chama anapaswa kutoa ufafanuzi kuhusu huu mchakato wa uchaguzi utakavyokuwa ili kuhakikisha unakuwa huru na wa haki".
Haya mambo ndio yanayonifanya nisimkubali. Conspiracy theories na fear mongering. Kwangu mimi hapa anafuata playbook ya Trump ya ku sow doubts kuhusu uchaguzi. Ndio maana nimesema bora ashinde amasivyo patatokea fujo na mpasuko katika chama utakuwa mkubwa. Angeweza kudai taratibu za uchaguzi ziwekwe wazi mapema bila ku insinuate kuwa Mbowe na wenzake wataleta fujo. Tukumbuke kuwa Mnyika ametoa angalizo kuwa kuna watu wenye nia mbaya wanaweza kujaribu kuvuruga uchaguzi. Lissu badala ya kuhakikisha pesa za 'Abdul' hazipenyi anabakia kushambulia yule anaeamini ni ' the enemy within'! Playbook ya Trump kabisa.

Amandla...
 
Uchaguzi ukiwa huru na wa haki,mtu anakwenda kumchinja sultani mchana kweupe huku anajiangalia!, October 2025 ni unasukuma tuu kama kumsukuma mlevi!tatizo ni the ability and capability kuendesha serikali,Chadema hii uwezo huo haina!
P
Hahaha very sarcastic, wazungu wanasema I like your sense of humor.
 
Back
Top Bottom