Kwa hakika wewe ni
Mtoto wa Shule, nachelea kusema huna uelewa wowote kuhusu uongozi hivyo naomba nikupe somo kidogo kuhusu uongozi.
Wanaoongozwa ndio wanatakiwa wamwamini kiongozi wao kwani ni wao, baada ya kuridhika na sifa zake na uwezo wake, walimkabidhi uongozi.