Tundu Lissu: Wamilili wa Online Tv walipwe fidia, waliozifungia wachukuliwe hatua, maana Rais amesema zilifungia kimakosa

Nilielewa sana na msamaha ukitolewa sio lazima kwa wote
 
Haki hupewi kwa hisani ya mtu, ni ya kuidai tena sheria, kanuni na taratibu zipo.
 
Huu ni ukweli mtupu, mwanasheria nguli na mgombea urais wa JMT kupitia Chadema anasema kweli tupu. Kama hawakuwa na makosa walipwe fidia na walioshiriki kuzifungia bila makosa wachukuliwe hatua.

CAG nae anasema kuna 14+ Billion zinadaiwa huko kama Riba,
Sababu bila shaka ni ujuaji wa kuanzisha mamiradi ya kukurupuka pasi kufuata taratibu na Ushauri wa wataalam.
CCM Oye!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…