chadema ina wanachama million 40 kulingana na takwimu zilizokusanywa kwenye picha za mikutano ya hadhara na maandamano ya jogging 🐒Sasa ni muda wa Tundu Antipas Lissu kukusanya takwimu ili 2025 tusilaumiane. Maana wakiwa kwenye KeyBoard huwa wanatamba mko pamoja.
Muda huu ndio kura za maoni za uchaguzi, tinajua kwenye ile kumi, tano alitoa Mbowe, tano Lema, hata Malisa hajakuombea mchango
Data base ya wanachama CCM, inakimbilia kwenye million 9m, yenu chadema ipo kwenye 1.9, hakikini msije toa lawama za kipuuzi, muwe na wanachama waliolipia kadi kama CCM.
Nimecheka kwa nguvu mpaka watu wameniangalia hapa bar. Team inajigamba ina uwezo wa kushinda, lakini haitaki VAR?!😂Sasa ni muda wa Tundu Antipas Lissu kukusanya takwimu ili 2025 tusilaumiane. Maana wakiwa kwenye KeyBoard huwa wanatamba mko pamoja.
Muda huu ndio kura za maoni za uchaguzi, tinajua kwenye ile kumi, tano alitoa Mbowe, tano Lema, hata Malisa hajakuombea mchango
Wafuasi wa Lisu wanampa kura ambazo hazihitaji pesa, mchango wa pesa ni hiari. Kinachoendelea ni picha halisi ya umasikini wa wananchi.Wafuasi wa Chadema 100,000 tu kama wangetoa shilingi 5000 tu kila mmoja jamaa angekuwa na shilingi milioni 500 sasa hivi, ila hata milioni 50 hajatoboa...!
Je lissu ana wafuasi kiasi gani? Au wameona hili suala la mchango ni upuuzi?
Tathmini ya uchaguzi, kwani Tanzania Kuna uchaguzi au maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura?Yaani hawajui hii no tathimini ya uchaguzi, peoples power iko msalabani
Elewa wingi kujazana kwa watu kwenye mikutano siyo kipimo cha kura,Kinachotakiwa sasa ni kuja na njia sahihi ya kiwadhibiti hawa vibaka wa kura maana jamaa ni ma.konki wa kukwapua. yaani huwa wanaiba hadi wanapitiliza idadi inayotakiwa - kiasi hata tume imeshindwa kutoa takwimu za kura 2020 za Urais.
Mioyoni watu ni matajiri lakini mifukoni ambako kumedhoofishwa na serikali ya CCM ni dhofli hali.Wafuasi wa Chadema 100,000 tu kama wangetoa shilingi 5000 tu kila mmoja jamaa angekuwa na shilingi milioni 500 sasa hivi, ila hata milioni 50 hajatoboa...!
Je lissu ana wafuasi kiasi gani? Au wameona hili suala la mchango ni upuuzi?
Kwa tume ipiSasa ni muda wa Tundu Antipas Lissu kukusanya takwimu ili 2025 tusilaumiane. Maana wakiwa kwenye KeyBoard huwa wanatamba mko pamoja.
Muda huu ndio kura za maoni za uchaguzi, tinajua kwenye ile kumi, tano alitoa Mbowe, tano Lema, hata Malisa hajakuombea mchango
Shida sio vyama,tatizo wenye mamlaka wanatimiza wajibu wao au ndo nyie machawa wanufaika wa mfumo mnawapumbaza.Vyama vipo na vitapita ila Tanzania itabakiElewa wingi kujazana kwa watu kwenye mikutano siyo kipimo cha kura,
-10% wanapiga kura
-80% huja kuangalia kuna kipi kipya/na kuona kura zao wapeleke wapi?
10% huwa ni wanachama kindakindaki wa CCM wamekuja tu kuwakebei.