Pre GE2025 Tundu Lissu, wanaposema wako nyuma yako kamanda, sasa ni muda wako wa kukusanya takwimu, 2025 usije sema umeibiwa kura

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Sasa ni muda wa Tundu Antipas Lissu kukusanya takwimu ili 2025 tusilaumiane. Maana wakiwa kwenye KeyBoard huwa wanatamba mko pamoja.

Muda huu ndio kura za maoni za uchaguzi, tinajua kwenye ile kumi, tano alitoa Mbowe, tano Lema, hata Malisa hajakuombea mchango
 
Data base ya wanachama CCM, HAI, inakimbilia kwenye million 9m, yenu chadema ipo kwenye 1.9, hakikini msije toa lawama za kipuuzi, muwe na wanachama waliolipia kadi kama CCM.
 
Hawapiti hapa, lakini mimi mtaalamu wa logarithim
 
Kinachotakiwa sasa ni kuja na njia sahihi ya kiwadhibiti hawa vibaka wa kura maana jamaa ni ma.konki wa kukwapua. yaani huwa wanaiba hadi wanapitiliza idadi inayotakiwa - kiasi hata tume imeshindwa kutoa takwimu za kura 2020 za Urais.
 
Wafuasi wa Chadema 100,000 tu kama wangetoa shilingi 5000 tu kila mmoja jamaa angekuwa na shilingi milioni 500 sasa hivi, ila hata milioni 50 hajatoboa...!

Je lissu ana wafuasi kiasi gani? Au wameona hili suala la mchango ni upuuzi?
 
c
Sasa ni muda wa Tundu Antipas Lissu kukusanya takwimu ili 2025 tusilaumiane. Maana wakiwa kwenye KeyBoard huwa wanatamba mko pamoja.

Muda huu ndio kura za maoni za uchaguzi, tinajua kwenye ile kumi, tano alitoa Mbowe, tano Lema, hata Malisa hajakuombea mchango
chadema ina wanachama million 40 kulingana na takwimu zilizokusanywa kwenye picha za mikutano ya hadhara na maandamano ya jogging 🐒
 
Tundu lissu kugombea urais ni kupotea kisiasa ,ni vema arudi bungeni ,kwa nini ahangaike na jambo ambalo haliwezi?
 
Data base ya wanachama CCM, inakimbilia kwenye million 9m, yenu chadema ipo kwenye 1.9, hakikini msije toa lawama za kipuuzi, muwe na wanachama waliolipia kadi kama CCM.
Sasa ni muda wa Tundu Antipas Lissu kukusanya takwimu ili 2025 tusilaumiane. Maana wakiwa kwenye KeyBoard huwa wanatamba mko pamoja.

Muda huu ndio kura za maoni za uchaguzi, tinajua kwenye ile kumi, tano alitoa Mbowe, tano Lema, hata Malisa hajakuombea mchango
Nimecheka kwa nguvu mpaka watu wameniangalia hapa bar. Team inajigamba ina uwezo wa kushinda, lakini haitaki VAR?!😂
 
Wafuasi wa Chadema 100,000 tu kama wangetoa shilingi 5000 tu kila mmoja jamaa angekuwa na shilingi milioni 500 sasa hivi, ila hata milioni 50 hajatoboa...!

Je lissu ana wafuasi kiasi gani? Au wameona hili suala la mchango ni upuuzi?
Wafuasi wa Lisu wanampa kura ambazo hazihitaji pesa, mchango wa pesa ni hiari. Kinachoendelea ni picha halisi ya umasikini wa wananchi.
 
Nimecheka kwa nguvu mpaka watu wameniangalia hapa bar. Team inajigamba ina uwezo wa kushinda, lakini haitaki VAR?!😂
Yaani hawajui hii no tathimini ya uchaguzi, peoples power iko msalabani
 
Tathmini ya uchaguzi, kwani Tanzania Kuna uchaguzi au maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura?
 
Kinachotakiwa sasa ni kuja na njia sahihi ya kiwadhibiti hawa vibaka wa kura maana jamaa ni ma.konki wa kukwapua. yaani huwa wanaiba hadi wanapitiliza idadi inayotakiwa - kiasi hata tume imeshindwa kutoa takwimu za kura 2020 za Urais.
Elewa wingi kujazana kwa watu kwenye mikutano siyo kipimo cha kura,
-10% wanapiga kura
-80% huja kuangalia kuna kipi kipya/na kuona kura zao wapeleke wapi?
10% huwa ni wanachama kindakindaki wa CCM wamekuja tu kuwakebei.
 
Wafuasi wa Chadema 100,000 tu kama wangetoa shilingi 5000 tu kila mmoja jamaa angekuwa na shilingi milioni 500 sasa hivi, ila hata milioni 50 hajatoboa...!

Je lissu ana wafuasi kiasi gani? Au wameona hili suala la mchango ni upuuzi?
Mioyoni watu ni matajiri lakini mifukoni ambako kumedhoofishwa na serikali ya CCM ni dhofli hali.
Katika hali ya nchi yetu ilipofikia ambako kuna watu hawawezi kununua hata kilo moja ya sukari halafu unachangiwa mamilioni ununuliwe gari basi wanakupenda.
Pamoja na jitihada zenu zenye mpako wa lusifer kukatisha tamaa watu wasichange, wamewapuuza.
Nataliya kupost hii naenda M-pesa kutupia kidogo.
 
Sisi ccm tupo milioni tisa na kura tunapiga
 
Sasa ni muda wa Tundu Antipas Lissu kukusanya takwimu ili 2025 tusilaumiane. Maana wakiwa kwenye KeyBoard huwa wanatamba mko pamoja.

Muda huu ndio kura za maoni za uchaguzi, tinajua kwenye ile kumi, tano alitoa Mbowe, tano Lema, hata Malisa hajakuombea mchango
Kwa tume ipi
 
Sh
Elewa wingi kujazana kwa watu kwenye mikutano siyo kipimo cha kura,
-10% wanapiga kura
-80% huja kuangalia kuna kipi kipya/na kuona kura zao wapeleke wapi?
10% huwa ni wanachama kindakindaki wa CCM wamekuja tu kuwakebei.
Shida sio vyama,tatizo wenye mamlaka wanatimiza wajibu wao au ndo nyie machawa wanufaika wa mfumo mnawapumbaza.Vyama vipo na vitapita ila Tanzania itabaki
 
Back
Top Bottom