Pre GE2025 Tundu Lissu, wanaposema wako nyuma yako kamanda, sasa ni muda wako wa kukusanya takwimu, 2025 usije sema umeibiwa kura

Pre GE2025 Tundu Lissu, wanaposema wako nyuma yako kamanda, sasa ni muda wako wa kukusanya takwimu, 2025 usije sema umeibiwa kura

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Sasa ni muda wa Tundu Antipas Lissu kukusanya takwimu ili 2025 tusilaumiane. Maana wakiwa kwenye KeyBoard huwa wanatamba mko pamoja.

Muda huu ndio kura za maoni za uchaguzi, tinajua kwenye ile kumi, tano alitoa Mbowe, tano Lema, hata Malisa hajakuombea mchango
Mwaka 2020 kura zilipigwa siku mbli kabla kwa wagombea wa ccm. ushahidi upo toka ofisi wa cc mkwajuni kinondoni
 
Back
Top Bottom