Kuna wakati mnatuona mazombie sioTume ya uchaguzi, kwa sheria ya sasa Tume ni huru sana kwa asilimia 100
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna wakati mnatuona mazombie sioTume ya uchaguzi, kwa sheria ya sasa Tume ni huru sana kwa asilimia 100
Mwaka 2020 kura zilipigwa siku mbli kabla kwa wagombea wa ccm. ushahidi upo toka ofisi wa cc mkwajuni kinondoniSasa ni muda wa Tundu Antipas Lissu kukusanya takwimu ili 2025 tusilaumiane. Maana wakiwa kwenye KeyBoard huwa wanatamba mko pamoja.
Muda huu ndio kura za maoni za uchaguzi, tinajua kwenye ile kumi, tano alitoa Mbowe, tano Lema, hata Malisa hajakuombea mchango